Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

Ila uelewe ngono ni uraibu kama mwingine tu. Yupo mtu akikosa sigara anaugua. Wewe kwa mfano ukikosa energy drink unapagawa
 
Hi ni kwa nini watu wengi katika ukumbi huu wanaona kuku na chips kama ni big deal sana? Nimeshaona mara nyingi tu watu aidha wakijisfai kuwa wamemnunulia demu cipsi na kuku au wanalalamika kuwa demu kala chips na kuku lakini kakataa kutoa uroda!
 
Ndo mana mnatuharibia watoto wa 2004/2010.
Yani mwanaume mzima hujui nin maan ya kua mwanaume.
Eeeeeh kazi kweli kweli
 
Unaweza ukawa msibani Ngarash ukaona hii 👇

 
Hivi wewe unawajua vijana wa hovyo?
Sisi kazini tulikuwa naye mmoja. Anakubali kazini ale mihogo na chai atumie buku tu halafu jioni anakwenda kuteketeza 50 kwenye zinaa. Alifukuzwa kazi sasa naona anazikumbuka zile 50k za lodge
50,0000 ni nyingi sana, Mimi juzi nimetumia 32,000/ mpaka sasa naiwazia hiyo 32,000/
 
Uko sahihi chief
 
50,0000 ni nyingi sana, Mimi juzi nimetumia 32,000/ mpaka sasa naiwazia hiyo 32,000/
Ni heri ungejifungia chumbani ungepiga nyeto tu.
Ungeokoa muda (rasilimali muhimu sana)
Ungeokoa pesa
Ungeepukana na lawama. Maana licha ya wewe kukutoka 32 siku akikupiga kizinga cha 20 usipo mpa lawama zitakuandama. Huku yeye hata buku 3 hawezi kukutumia ukimwomba.
 
Tatizo LA hawa warembo ukikwama hawezi hata kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…