Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

Wakuu naomba mwenye uelewa anieleweshe kuhusu pesa ya Tanzania ya note na coin. Vinatengenezewa wapi. Si mtalaam wa haya mambo.
 
Sijui ila nna uhakika, Inachapishwa na mabeberu, huko kwa mabeberu.

Sijui kwanini hatufungui kiwanda cha noti zetu hapa nchini, tukaajiri watu wetu! Fedha tunazo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Zimbabwe walitaka kufanya hivyo, kiwanda kikamilika, walivyoomba matilio ya kutengenezea Dolali zao wakanyimwa.
 
Huwa nasikia story za vijiweni kuwa pesa zetu zinatengenezwa benki ya dunia USWISI..Naomba mniweke sawa wakuu.
 
Bado nasikilizia jibu sahihi
IMG_20210326_141506.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliskia zinatengenezwa uswizi ,na hazitengenezwi na kampuni moja
Tz tunapeleka maelezeko jinsi zinavyofaa kuonekana
Serikali haiwez agiza zi printiwe pesa nyingi ili ilipe madeni kwa sababu ku print ni ghalama
Na pia madeni hulipwa in terms of dollar mzungu hawezi pokea pesa ya madafu itabidi zibaki BOT afu tutoe dollar so work done itakua zero
Kama umesoma commerce tunasema moj ya sifa za pesa it must be relatively scarce yani isipatikane kwa wingi (angalia zimbabwe)
Hatuwez kua na kampuni ya ku print hela coz nadhani ni expensive kuiendesha
Thamani ya pesa inashuka kwa sabBu malaika amekataa kulipa madeni ya watu n haongezi mishahara while vitu vinapanda bei hivyo maisha kuwa magumu.na pia amesababisha ma hotel kufungw coz of sera zake hivyo mzunguk wa hela umekuf lazm ujue hata malaya anaponnuliwà anasàidia nchi

Kuhusu kampuni inayotengnez pesa nakujibu kwa mazingira ya marekani niliyoyaona kwenye tv katika kipindi kinaitwa how they are made
Ni hivi katik kampuni za kutengeneza pesa kuna ulinzi mkali sana mfn metal detectors na kadhalika pia unasachiwa mlangoni so huezi iba but mshahara wao ni kwa pesa ile ile ila sio yaTZ Pain killer
Mkuu, hili la kununua malaya umebonyeza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ila nna uhakika, Inachapishwa na mabeberu, huko kwa mabeberu.

Sijui kwanini hatufungui kiwanda cha noti zetu hapa nchini, tukaajiri watu wetu! Fedha tunazo!

Everyday is Saturday............................... 😎

Nilisikia zinachapishwa Uswisi
 
Kutengenezwa ni popote pale kwenye kamputi itakayo shinda tenda
Exactly ndiyo ninachojua mimi, inawezekana zinatengenezwa na kampuni mbili au hata 3.. Saa zingine siyo lazima noti zote au fedha zote zitengenezwe na kampuni moja.
Nimeona Waingereza wana branch Kenya.

Utakuta zinachapwa hapo kwa jirani.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Kama germany ina kampuni ya kutengeneza izoo pesa zetu,,,, nani kawapa iyoo tenda ya kiprint pesa za Tanzania??? Mbona Tanzania ya sasa haina uhusiano wowote na germany??? Sijaona uwekezaji wowote humu nchini,,,, pesa za germany nan anatengeneza??? Au n wao wenyewe?????
Mkuu unauliza maswali yenye akili lakini watu hawajuelewi wanazunguka mbuyu tu
 
Yani ww ni kama unatafuta source ya the last man anayetengeneza pesa. Lakini mtu hashtuki. Ni kama kukuta msitu unaungua unatafuta aliechoma msitu. Mtu anakwambia msitu umeongua kwa sababu majani yalikua makavu. Wewe unamwambia ndio msitu kuungua lazima majani yawe makavu lakini nani aliyechoma msitu. Mtu anakwambia kuchoma msitu mpaka uwe na kiberiti bila kiberiti huwezi choma, si unaona msitu wa zimbabwe chini ya mugabe ulivoungua sababu ya kiberiti na njiti.
Kiufupi unajaribu ku reason na watu ambao hawajui kinachoendelea kwenye uchumi
Sisi kama Tanzania tukiprint pesa zetu na kuita watu kutoka nje kutufanyia kazi na kuwalipa izo pesa kuna tatizo lolote au kuna taasis utatufunga,,,,,, aiseeeee
 
Niliskia zinatengenezwa uswizi ,na hazitengenezwi na kampuni moja
Tz tunapeleka maelezeko jinsi zinavyofaa kuonekana
Serikali haiwez agiza zi printiwe pesa nyingi ili ilipe madeni kwa sababu ku print ni ghalama
Na pia madeni hulipwa in terms of dollar mzungu hawezi pokea pesa ya madafu itabidi zibaki BOT afu tutoe dollar so work done itakua zero
Kama umesoma commerce tunasema moj ya sifa za pesa it must be relatively scarce yani isipatikane kwa wingi (angalia zimbabwe)
Hatuwez kua na kampuni ya ku print hela coz nadhani ni expensive kuiendesha
Thamani ya pesa inashuka kwa sabBu malaika amekataa kulipa madeni ya watu n haongezi mishahara while vitu vinapanda bei hivyo maisha kuwa magumu.na pia amesababisha ma hotel kufungw coz of sera zake hivyo mzunguk wa hela umekuf lazm ujue hata malaya anaponnuliwà anasàidia nchi

Kuhusu kampuni inayotengnez pesa nakujibu kwa mazingira ya marekani niliyoyaona kwenye tv katika kipindi kinaitwa how they are made
Ni hivi katik kampuni za kutengeneza pesa kuna ulinzi mkali sana mfn metal detectors na kadhalika pia unasachiwa mlangoni so huezi iba but mshahara wao ni kwa pesa ile ile ila sio yaTZ Pain killer

Kenya kuna kiwanda cha kutengeneza pesa zao kipo Nairobi Kampuni inaitwa De La Rue​

28 Nov 2018 — De La Rue, which has operated in Kenya for more than 25 years, says it is investing more in its factory in Ruaraka, Nairobi as part of a long- ...

Sawa mkuu nimekuelewa kwa upande flani,,, sasa kama serikal inahusika katika mchakato mzima wa kuprint pesa,,, pesa inapoisha kwenye mzunguko kwanin isiprint nyingine inakimbilia kukopa pesa mataifa mengine??? Hapo inakuaje au nasisi tunanunuaaga pesa???
Noti ukiprint nyingi kuliko kiwango sahihi zinashuka thamani, maana zinasambaa sana kwa hiyo bei za vitu zinapanda maana watu wengi wanakuwa na pesa.

Si uliona Zimbabwe kilichotokea?

Tarehe 12/4/2009 Zimbabwe ilisitisha matumizi ya sarafu yake ya Dola ya Zimbabwe (ZWD) na kuruhusu sarafu za kigeni zitumike nchini humo.

Sababu ya kusitisha ni kwamba sarafu hiyo ilishuka thamani kwa kiwango cha kutisha kutokana na Benki Kuu ya Zimbabwe kuchapisha sarafu nyingi sana.

Iliporomoka mpaka kufikia kiwango cha Shilingi moja ya Tanzania kuwa sawa na Dola TRILIONI 26.5 za Zimbabwe.

Kwa hiyo ilikuwa ukitaka kununua mkate wa Tshs. 1,000/- kwa Zimbawe ilibidi uwe na dola TRILIONI 26,500 za Zimbabwe. Ndo kipindi hicho waZimbabwe wanabeba noti kwenye toroli au mkokoteni kwenda kununua mkate.
 
Back
Top Bottom