Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Kabla ya yote Mimi naomba kuuliza,je,ni kweli kwamba SSH aliukataa urais lakini akalazimishwa kuapishwa?. Kama ni kweli basi kosa ni la huyo mlazimishaji siyo SSH
 
Walimpa wenyewe sisi na mkuu wa majesh tulitaka majaliwa aongoze jahaz nyie mkamkimbilia katiba haya sasa
 
Walimpa wenyewe sisi na mkuu wa majesh tulitaka majaliwa aongoze jahaz nyie mkamkimbilia katiba haya sasa
Mkuu ni kama Traore, akiamua jambo lake kinakuwa, sasa ilikuwaje nyinyi na mkuu wa majeshi mkashindwa?
 
Kabla ya yote Mimi naomba kuuliza,je,ni kweli kwamba SSH aliukataa urais lakini akalazimishwa kuapishwa?. Kama ni kweli basi kosa ni la huyo mlazimishaji siyo SSH
Kuna story ya kulazimishwa tena?....ndo maana basi
 
Marekani sio wajinga kukataa kutawaliwa na Mwanamke they knew this long before. Mwanamke atakoromaje mbele ya mwanaume bhana???
Ndiyo shida hiyo... principal of naturality, mwanamke ni mwanamke tu, Kuna kiwango cha majukumu kikifika basi uwezo wake unaishia hapo.
 
Wewe mwanamke ebu Wacha ujinga wako hayo mashirika 27 yamepata faida kiasi gani ukilinganisha na jumla ya hasara nchi iliyopata?
Siku nyingine kaa kimya huwezi kufukuzwa kazi kwa kuficha upumbavu wako!
Huyu mama ameshindwa uongozi Ndio maana nyie wote mnatumia hovyo kodi za wananchi kwa mambo ya hovyo !
 
We sikitikia huo uwezo wako mdogo wa kuelewa. Kwa akili hizo huwezi kumwelewa Rais wetu.
Kama wewe unamuelewa kwa upotevu wote wa ela namna hii basi we ndo kiazi haswa au mnufaika wa wizi, nyinyi ndo mnampamba mama kumbe mnamnafikia
 
Siku hizi sikasikii kale ka wimbo ka kero za muungano, kameenda wapi?
 
Umejuaje kama ameshindwa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DHvBZKOuLsz/?igsh=azUwZTQ2engxNW9w
Ni lini yaliwahi pata faida tofauti na Utawala huu?

Unaropoka tuu
 
Rais dhaifu hafai kwenye nchi za Kiafrika .
Nadhani pia sheria na kanuni nyingi za kitaifa na kimataifa hazijui kabisa na jasomi.

Inaonekana hata ripoti ya CAG hajaisoma yote zaidi ya kusikiliza ikisomwa kama wananchi wa kawaida .
Huu uraisi wa kushtukiza nao ni tatizo, mtu hata halikuwa hajawahi kuwaza kuwa Rais na ghafla kama ajali akawa Rais unategemea nini hapo
 
Repoti ya CAG bila mihemko inaonesha maendeleo au ubora katika kudhibiti matumizi mabaya ya pesa za umma.
Ukichukulia reli sababu kuu ni mvua kubwa zilizo dumu karibu miezi minne kuathiri kazi na miundo mbinu. Pia reli na mabehewa na vichwa ni vikongwe. SGR ndio inaanza kazi katika majaribio bado
Ndege pia zinaonesha hasara inapungua si kama ya miaka ya nyumba. Mashirika mengi ya ndege duniani yanaathirika kibiashara sababu ya changamoto nje ya udhibiti wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…