FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Pesa nyingi zimeokotwa siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2023 eneo la kidongo chekundu karibu na hospitali ya wagonjwa wa akili, muhusika aliyepoteza ametakiwa kuwatafuta wahusika kupitia namba ya simu 0777 842 525. Wananchi wameombwa kuacha kufanya usumbufu kwa ambae si pesa yake.
Miaka mitatu iliyopita milioni 150 ziliokotwa visiwani humo na kurejeshwa kwa mwenyewe lakini ulijitokeza usumbufu wa watu kwenda kuzidai wakidai ni za kwao.
Miaka mitatu iliyopita milioni 150 ziliokotwa visiwani humo na kurejeshwa kwa mwenyewe lakini ulijitokeza usumbufu wa watu kwenda kuzidai wakidai ni za kwao.