Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Zingine hela za majini mkuu zile ss uone balaa lake
sasa sisi watanganyika mambo yenu ya zanzibar yanatuhusu nini? sie vyogo.Pesa nyingi zimeokotwa siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2023 eneo la kidongo chekundu karibu na hospitali ya wagonjwa wa akili, muhusika aliyepoteza ametakiwa kuwatafuta wahusika kupitia namba ya simu 0777 842 525. Wananchi wameombwa kuacha kufanya usumbufu kwa ambae si pesa yake.
Miaka mitatu iliyopita milioni 150 ziliokotwa visiwani humo na kurejeshwa kwa mwenyewe lakini ulijitokeza usumbufu wa watu kwenda kuzidai wakidai ni za kwao.
View attachment 2745394
Ni kweli nimeskiliza kaintro tuHujasikiliza yote wewe
Wislamu hawana mambo hayo, hata wakristo siyo madhehebu yote tabia hizi makanisa ya kilokole, maana kwa watu katika biashara.pesa pia hizo pesa wanapoteza na kuokota kimchongo ili kutangaza wema wa dini na kuvutia wengine...biashara matangazo.
Hayo ni maneno ya Maskini na pia ni maneno ya Tajiri kumpity Maskini 🗑 🚮Umasikini na utajiri siyo kipimo cha ubora wa mwanaadam.
Me too, I am doubting Thomas [emoji24][emoji24][emoji24]Ni uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
We acha kuripaka matope geshi ra porisi we ujuwi kazi yao ni kurinda usarama wa raia na mari zao na hii ni mojawapo ya kazi ya ccm au we chadema? eeh? alisikika afande chacha aking'aka.Polisi zikifika hazirudi
Tarehe fakeNi uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
Watu hao waliokajitokeza kudai ni zakwao walikua ni wakazi wa bara au pwani?Pesa nyingi zimeokotwa siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2023 eneo la kidongo chekundu karibu na hospitali ya wagonjwa wa akili, muhusika aliyepoteza ametakiwa kuwatafuta wahusika kupitia namba ya simu 0777 842 525. Wananchi wameombwa kuacha kufanya usumbufu kwa ambae si pesa yake.
Miaka mitatu iliyopita milioni 150 ziliokotwa visiwani humo na kurejeshwa kwa mwenyewe lakini ulijitokeza usumbufu wa watu kwenda kuzidai wakidai ni za kwao.
View attachment 2745394
Au wapeleke kwa mwenyekiti wa CCM wa kata yao.Jamaa wana zali la kuokota pesa tu
Kwanini wasizipeleke na kuzikabidhi
Polisi [emoji1]
Ova