Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

Ni uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
Kuna watu mmezaliwa kuja kuwa wabishi duniani, ni mwaka huu huu mwanzoni, kuna mtu alidondosha fedha nyingi tu, jamaa akaokota akampelekea mwenyewe, akapewa elfu 20, mpaka atwendy mitandaoni akionyeshwa na kichwa chake kibaya.
 
Tofautisha matukio halisi na maigizo
 
Kuna watu mmezaliwa kuja kuwa wabishi duniani, ni mwaka huu huu mwanzoni, kuna mtu alidondosha fedha nyingi tu, jamaa akaokota akampelekea mwenyewe, akapewa elfu 20, mpaka atwendy mitandaoni akionyeshwa na kichwa chake kibaya.
Ipo sana hiyo ...wakati mwingine unaweza rudisha wema na usirudishiwe chochote cha shkran

Ova
 
Hata Mimi konda akinizidishia chenji namrejeshea Hela yake
 
Zanzibar ni kitovu cha Maskini, Waruhusu mabinti zao kuchukuliwa na wachaga watengeneze mbegu itakayojali maendeleo ya Zanzibar...
 
Jamaa wana zali la kuokota pesa tu

Kwanini wasizipeleke na kuzikabidhi

Polisi [emoji1]

Ova
Inawezekana pia hizo pesa wanapoteza na kuokota kimchongo ili kutangaza wema wa dini na kuvutia wengine...biashara matangazo.
 
Back
Top Bottom