Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

Hawa huokota fedha tu, eehh hawaokoti vingine mmmhh
 
Wewe ndie umeleta hii habari kwahiyo usiogope kujibu
Kisa chote kipo kwenye audio clip, unataka niongezee yangu? Kinachokushinda kusikiliza ni nini ? Au umeazima simu ya shemeji?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kisa chote kipo kwenye audio clip, unataka niongezee yangu? Kinachokushinda kusikiliza ni nini ? Au umeazima simu ya shemeji?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Nilienda kusomea jinsi ya kukunanii wewe hapo
 
Hakuna raha duniani kama kuwa na dini, anaeteseka ni yule asiye na dini.

Mimi najivunia Uislam wangu. Wewe una dini?
Mumeo unamuhudumia muda gani? Au ushamtanguliza kaburini ili urithi kiwanja bagamoyo?
 
Back
Top Bottom