Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,820
Pesa nyingi zimeokotwa siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2023 eneo la kidongo chekundu karibu na hospitali ya wagonjwa wa akili, muhusika aliyepoteza ametakiwa kuwatafuta wahusika kupitia namba ya simu 0777 842 525. Wananchi wameombwa kuacha kufanya usumbufu kwa ambae si pesa yake.

Miaka mitatu iliyopita milioni 150 ziliokotwa visiwani humo na kurejeshwa kwa mwenyewe lakini ulijitokeza usumbufu wa watu kwenda kuzidai wakidai ni za kwao.

Your browser is not able to display this video.
 
Ni uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…