kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Kuna watu mmezaliwa kuja kuwa wabishi duniani, ni mwaka huu huu mwanzoni, kuna mtu alidondosha fedha nyingi tu, jamaa akaokota akampelekea mwenyewe, akapewa elfu 20, mpaka atwendy mitandaoni akionyeshwa na kichwa chake kibaya.Ni uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
Hata huku vinaanguka, ila vikianguka hutosikia, kwa sababu havimtafuti mwenyewe.Usanii tu hivyo vibunda kwanini viangukie tu huko mara zote
Tofautisha matukio halisi na maigizoKuna watu mmezaliwa kuja kuwa wabishi duniani, ni mwaka huu huu mwanzoni, kuna mtu alidondosha fedha nyingi tu, jamaa akaokota akampelekea mwenyewe, akapewa elfu 20, mpaka atwendy mitandaoni akionyeshwa na kichwa chake kibaya.
Imewavuruga nyie maccm na bibi yenu mama Abdul!DP World imekuvuruga.
Ipo sana hiyo ...wakati mwingine unaweza rudisha wema na usirudishiwe chochote cha shkranKuna watu mmezaliwa kuja kuwa wabishi duniani, ni mwaka huu huu mwanzoni, kuna mtu alidondosha fedha nyingi tu, jamaa akaokota akampelekea mwenyewe, akapewa elfu 20, mpaka atwendy mitandaoni akionyeshwa na kichwa chake kibaya.
Huko kwingine huenda ikawa pia vinaanguka ila vinaokotwa kimya kimya kisha mtu anazitumia,Usanii tu hivyo vibunda kwanini viangukie tu huko mara zote
Ameshiba diniHuyo mzungumzaji ni mbantu, mweusi tii.
Kwa sababu ni waaminifuIla jamaa wana zali sana ya kuokota pesa
Ova
Wanapoteza mbonaNi uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
Hujasikiliza yote weweNi 150ml na vitu vya dhahabu vimeokotwa ko anatafutwa aliepoteza ni tbt 3yrs imepita
Inawezekana pia hizo pesa wanapoteza na kuokota kimchongo ili kutangaza wema wa dini na kuvutia wengine...biashara matangazo.Jamaa wana zali la kuokota pesa tu
Kwanini wasizipeleke na kuzikabidhi
Polisi [emoji1]
Ova
Umpelekee fisi mzoga? Mbona utampa mtihani mgumu?Jamaa wana zali la kuokota pesa tu
Kwanini wasizipeleke na kuzikabidhi
Polisi [emoji1]
Ova
Libreville hakuna hiyo huku Kuna Bongo anaekula wali nyuma ya Nondo.DP World imekuvuruga.