Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

Sasa kwani hao wanaopiga simu za usumbufu c ni waislamu au
 
Sasa kwani hao wanaopiga simu za usumbufu c ni waislamu au
 
sasa sisi watanganyika mambo yenu ya zanzibar yanatuhusu nini? sie vyogo.
 
pesa pia hizo pesa wanapoteza na kuokota kimchongo ili kutangaza wema wa dini na kuvutia wengine...biashara matangazo.
Wislamu hawana mambo hayo, hata wakristo siyo madhehebu yote tabia hizi makanisa ya kilokole, maana kwa watu katika biashara.
.nimeona video anajiita nabii malisa, kajofanya chizi kavaa nguo zilizoratuka huku xikoonekana chavu, wigi la rasta chafu, huku kabeba kiloba mgongoni, anaomba omba, alafu kuna jamaa akamsukuma, baada ya kuombwa.
.
.Amesahau watanzania hatuna ya kuwafanyia hivyo omba omba, kama hutaki, ikibidi tujisogeza mbali nae.
.
 
Zanzibar ni kitovu cha Maskini, Waruhusu mabinti zao kuchukuliwa na wachaga watengeneze mbegu itakayojali maendeleo ya Zanzibar...
Umasikini na utajiri siyo kipimo cha ubora wa mwanaadam.
 
Unadondoshaje 150,TSH milioni? Sehemu yenyewe Zanzibar,kidongo cheupe [emoji1787][emoji1787]hilo tego,maginius ghosts hunting for someone else who might come across [emoji24]
 
Huo mtihani Mola angenipa mie ningefanya Kwa waledi sana....
 
Watu hao waliokajitokeza kudai ni zakwao walikua ni wakazi wa bara au pwani?
 
Kwanini ni wao kwa mara ya pili wanaokota pesa ndefu kiasi hicho? Sina imani na hawa waokotaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…