Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,107
Ilishawahi tokea mwaka 1999 stendi ya Moshi kuna shoe shiner aliokota kibegi kina milioni 6 akamrudishia mwenyewe. Ilitangazwa BBCSipati zingedondokea pande za North
Yaani kwamba dini isifiwe kwa kuokota pesa na kumrudishia mwenyewe?Ni uongo wa kijinga, hakuna mtu wa kupoteza pesa nyingi enzi hizi, ni kujaribu kuisifia dini yako
Huyo sio Mzawa wa Moshi, hakuna mangi mpuuzi namna hiyo jombaaIlishawahi tokea mwaka 1999 stendi ya Moshi kuna shoe shiner aliokota kibegi kina milioni 6 akamrudishia mwenyewe. Ilitangazwa BBC
Wewe ndie umeleta hii habari kwahiyo usiogope kujibuKasikilize audio clip vizuri, kisa chote kimeelezewa. Au upo darasani?
Udini unakutesa sanaSema, Waislam.
Nilienda kusomea jinsi ya kukunanii wewe hapoKisa chote kipo kwenye audio clip, unataka niongezee yangu? Kinachokushinda kusikiliza ni nini ? Au umeazima simu ya shemeji?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mumeo unamuhudumia muda gani? Au ushamtanguliza kaburini ili urithi kiwanja bagamoyo?Hakuna raha duniani kama kuwa na dini, anaeteseka ni yule asiye na dini.
Mimi najivunia Uislam wangu. Wewe una dini?
Ndio tanzaniteHakuna raha duniani kama kuwa na dini, anaeteseka ni yule asiye na dini.
Mimi najivunia Uislam wangu. Wewe una dini?
Mbona hamuwaamini PT wetu [emoji1]Umpelekee fisi mzoga? Mbona utampa mtihani mgumu?