Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Yes, hakuna sababu ya kupoteza muda maana sasa kesi itaendeshwa kwa upendeleo na maelekezo ya kihutu
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala...
Atetee nini mkuu wakati DPP atafanya yake.. ni suala la muda tu.. kama mtuhumiwa alitolewa usiku wa manane gerezani na kwenda kuapa kuwa mtunga sheria wa nchi, je hao ambao wapo uraiani tayari... hakuna gumu lolote kwa DPP linaloweza kumshinda!!
 
Huyu kweli no msomi, maana kashajua tayari hakutakuwa na kesi tena endapo kina Mdee watazamia..... Mazima
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
[emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji848][emoji848]
Nasema uongo ndugu zangu, lazima tukubaliane ili kusudi tupate maendeleo.
 
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
[emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji848][emoji848]
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”
Wananchi wanaitikia Kweliii ni uongo.
 
Kale ka msemo ka "Never trust a woman" nakaona kama kana ukweli mkuu. Maana tulianza kuaminishwa kwamba mwanamke ni mgumu mno kushawishika iwe kwa hela au kwa maneno - akiwa na msimamo wake huwa hayumbi yumbi -- mmmhh nakubali sasa kwamba wahenga walikuwa werevu sana namna ya kudeal na hawa mama zetu... dont give them 100% utalia bila kupigwa.
 
Hakuna kesi Tena hapo
 
Wabongo hawajawahi kua na jema,kama vile mashabiki wa simba na yanga vile ukiwa simba watakusifu hata kwa sifa ambazo huna ukishatoka utaambiwa mara galasa,mara utopolo na vile.

Tujifunze kuongea kidogo jamani sidhani kama akina Mdee wanadhambi kiasi cha kudharauliwa hata na watu ambao hawajawahi kupiga kura.Tuheshimu watu pamoja na mapungufu yao.
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‚πŸ€”πŸ€”
kweli wewe wanena.
 
Watetewe na Polepole
 
Hii ni taarifa ya Kibatala kujiondoa kuwatetea, sijaona tusi lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…