Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Huenda tukasikia Ndugai amemfutia Kibatala leseni ya uwakili! Siku hizi lolote linawezekana.View attachment 1640662
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya
Huenda tukasikia Ndugai amemfutia Kibatala leseni ya uwakili! Siku hizi lolote linawezekana.
SI ASEME TUUU HII KESI YA AKINA MDEE HAIWEZI NA USHAIDIII UNAONESHA WAZI HIYO KESI HAWEZI SHINDA. MAWAKILI KAMA AKINA KIBATALA WAPENDA FEDHA SAANA BAADA YAKUONA KESI NGUMU NDO KUJITOA.View attachment 1640662
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya
😆😆😆 umeishia darasa la ngapi ?SI ASEME TUUU HII KESI YA AKINA MDEE HAIWEZI NA USHAIDIII UNAONESHA WAZI HIYO KESI HAWEZI SHINDA. MAWAKILI KAMA AKINA KIBATALA WAPENDA FEDHA SAANA BAADA YAKUONA KESI NGUMU NDO KUJITOA.
Whatever!!, rekodi ishahifadhiwa.Hakuna kesi tena hapo.
Tatizo ni uchovu wa akili au njaa hapo Lumumba😁?SI ASEME TUUU HII KESI YA AKINA MDEE HAIWEZI NA USHAIDIII UNAONESHA WAZI HIYO KESI HAWEZI SHINDA. MAWAKILI KAMA AKINA KIBATALA WAPENDA FEDHA SAANA BAADA YAKUONA KESI NGUMU NDO KUJITOA.
SHIDA SIO KUISHIA DARASA LANGAPII. KIBATARA NIWAKILI WAKUWATETEA WATANZANIA WOTE WENYE UHITAJI NA HUDUMA YAKE. KIMA SIKUSHINDWA KWAKE JUU YA KESI HIZO, KITU GANI KIMEMUFANYA ASIEÑDELEE KUWATETEA WATEJA WAKE HAO? AU YUKO KISIASA ZAIDI? KAMA YUKO KISIASA HAPO ATAKUWA HAJAWATENDEA HAKI WAKINA MAMA HAO😆😆😆 umeishia darasa la ngapi ?
MATUSI NIDALILI ZA UKICHAA. HIVYO UTAISHIA MIREMBEE. JENGA HOJAAATatizo ni uchovu wa akili au njaa hapo Lumumba😁?
You got a seriously paranoid!
There will be no guilty though,View attachment 1640662
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya
Mambo yanaenda kasi sana!Noma sana.
Wamchukue Miss Natafuta ni wakili mzuri sana atawasaidia, waachane na huyo waliyempataWabunge wa viti maalumu Halima James Mdee, Esther Bulaya na Jesca Kishoa wameachana na Wakili wao wa zamani Peter Kibatala aliyekuwa akiwawakilisha katika kesi inayowakabili mahakama ya kisutu.
Leo wabunge hao wamewakilishwa na Wakili wao mpya kesi yao ilipotajwa katika mahakama ya kisutu.
Source Eatv habari.
Maendeleo hayana vyama!
Hata hivyo kesi yenyewe ishaisha maana wameshajiunga na wenye kesi.View attachment 1640662