PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Cha msingi katika kulalamika kwakwe kuhamasisha vurugu sheria inatafsiri huo ni uchochezi.

Kazi kwake huko mbeleni achague maneno yake kwa makini au kila siku atajikuta yupo lupango.
Maneno anayotumia ni sahihi kabisa ili kupata mabadiliko. Uzoefu unaonyesha ni nadra sana kupata mabadiliko ya kweli kwa meza ya mazungumzo bila kashikashi. Kinachofanyika ni kumtisha kwa hiyo kesi ila ataachiwa tu. Na iwe itakavyokuwa, movement yake lazima italeta mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi, hata itapelekea kupatikana kwa katiba mpya.
 
Halafu ata wakienda watasaidia nini.

Donald Trump ameshakata mirija ya nyonyo Tanzania.

Nchi kama US hana tena tools za kutumia ‘soft powers’ Tanzania ku-influence government behaviour.

Sisemi huko mahakamani haki isitendeke, ila hao wazungu wenu hawana kitu cha kuitishia nacho serikali tena kama misaada washakata tayari.
Tanzania bado inategemea misaada kutoka kwa wazungu
 
..kinachotokea ni Ccm kuvunja haki za Chadema, halafu Chadema wakizidai, wanashtakiwa kwa kuvunja sheria.

..Mfano mzuri ni jinsi Ccm walivyowanyima fomu za kiapo mawakala wa Chadema na kusababisha maandamano.

..Wakati Polisi wakizima maandamano hayo, mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji Dsm akauwawa. Baada ya hapo serikali ikawashtaki Chadema.

..Hata hii kesi inayomkabili Tundu Lissu, chanzo chake ni malalamiko ya Chadema kuhusu kudhulumiwa haki zao wakati wa uchaguzi.
Maandamano yanataka kibali, yale hayakuwa na kibali.

Sasa mnapokusanyika bila ya kibali jeshi la polisi lina mamlaka ya kutawanya maandamano.

Marehemu ilikuwa accident kwanza hakuwa ata kwenye maandano basi from lilikatiza from nowhere risasi ikampata.

Wakuła umowa ni CDM kulazimisha maandamano yasiyo na kibali.
 
Kibatala apewe ulinzi huyu ni Messi wa Sheria

Polisi watakaofika kutoa ushahidi naomba Mh wakili msomi Kibatala asisahau kuwauliza walipata div 4 au 0 ya ngapi.
 
Halafu ata wakienda watasaidia nini.

Donald Trump ameshakata mirija ya nyonyo Tanzania.

Nchi kama US hana tena tools za kutumia ‘soft powers’ Tanzania ku-influence government behaviour.

Sisemi huko mahakamani haki isitendeke, ila hao wazungu wenu hawana kitu cha kuitishia nacho serikali tena kama misaada washakata tayari.
Bajeti yetu ya mwaka huu tunajitegemea kwa asilimia 100?"
 
Ina maana uamini TRA wakikwambia mapato yameongezeka na budget kila mwaka deficit inayohitaji donors contribution inapungua.
Hii habari uliisikia wapi na lini mkuu! Hukuona hivi juzi tu Nchemba alivyokuwa akiwalilia IMF na vidola $430 milioni tu!
Wakati huo huo Auditor General akililia $440 milioni zilizokusanywa na mashirika ya umma ambazo hata nusu yake hazikuwasilishwa serikalini!
 
Maneno anayotumia ni sahihi kabisa ili kupata mabadiliko. Uzoefu unaonyesha ni nadra sana kupata mabadiliko ya kweli kwa meza ya mazungumzo bila kashikashi. Kinachofanyika ni kumtisha kwa hiyo kesi ila ataachiwa tu. Na iwe itakavyokuwa, movement yake lazima italeta mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi, hata itapelekea kupatikana kwa katiba mpya.
Well kama unadhani, binafsi sio mtabiri mzuri wa outcome ambazo zina multiple factors.

So it’s possible, ila ninachojua akitoa maneno ya uchochezi jamaa watatumia sheria kumrudisha keko.
 
Halafu ata wakienda watasaidia nini.

Donald Trump ameshakata mirija ya nyonyo Tanzania.

Nchi kama US hana tena tools za kutumia ‘soft powers’ Tanzania ku-influence government behaviour.

Sisemi huko mahakamani haki isitendeke, ila hao wazungu wenu hawana kitu cha kuitishia nacho serikali tena kama misaada washakata tayari.
JE hiyo ina maanisha hata bajeti hawataichangi?
Je huoni nchi za EU ni muhimu zaidi?
 
Hii habari uliisikia wapi na lini mkuu! Hukuona hivi juzi tu Nchemba alivyokuwa akiwalilia IMF na vidola $430 milioni tu!
Wakati huo huo Auditor General akililia $440 milioni zilizokusanywa na mashirika ya umma ambazo hata nusu yake hazikuwasilishwa serikalini!
Mwigulu kwa kuomba misaada amekubuhu, aina maana wasipotoa ndio nchi aiendi.
 
Serikali ya Tanzania inajifunza kujitegemea, CDM nao waanze kufuata hiyo njia sio kulilia wazungu katika changamoto zao. Ukiwa tegemezi unadumaza akili kuwa bunifu uwezo ambao upo ndani ya ubongo tayari sema autumiki.
CHADEMA inawafuata wazungu kwa sababu inajuwa hao wazungu ndio wanaoipa kiburi CCM. Kazi itakuwa nyepesi sana kuwavurumisha hawa CCM bila ya msaada wanaoupata toka kwa hao wazungu.
 
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.

Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa; aibu iwabebe wanaostahili. Bila shaka tunafahamu upande upi utabeba mzigo huo. Kama kawaida, muda ndio mwamuzi wa mwisho.

Kesho, tarehe 22 Aprili 2025, nitaandika rasmi kwa Mabalozi wa Jumuiya ya Kidiplomasia waliopo Tanzania, nikiwaalika maafisa wao kuhudhuria kesi ya Bw. Lissu iliyopangwa, ili wajionee kwa macho yao jinsi haki inavyotendeka nchini Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Aidha, nitaandika kwa Viongozi Wakuu wa Madhehebu Makuu ya Dini, nikiwaalika pia kuhudhuria na kushuhudia kinachofanyika kwa jina la Taifa.

Kesi hii ina athari za Kitaifa na Kimataifa; na tunahitaji uwazi wa hali ya juu.

Tunataka Dunia nzima ijionee jinsi Jeshi la Polisi la Tanzania litakavyoshughulikia haki ya Kikatiba ya Umma kuhudhuria mashauri ya jinai ya aina hii yenye uzito mkubwa; na wajifunze kwa dhahiri maana halisi ya kosa la uhaini.



Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai on 24th April 2025 will be met with stiff legal resistance;We trust that those responsible will not partake in any such hare-brained schemes.

We want Antipas Tundu Lissu Mughwai to be tried in full Public view; let the burden of shame be carried by the deserving side, of course we know which side that will be. Time is,as always,the final victor.

Tomorrow, 22nd April 2025, I will officially write to the Embassies of the Diplomatic Corp in Tanzania;inviting their Officers to attend Mr. Lissu's scheduled case,and witness Tanzanian Justice at play.

I will also write to the Heads of all major religious denominations:similarly inviting them to witness what is being done in the name of the Nation.

The case has intra-National, and International implications;and we require complete apparency.

We wish the whole World to witness how the Tanzania Police Force will be dealing with the statutory right of the Public to attend such momentous criminal proceedings;and learn for themselves what Treason actually entails.
Nasubiri ushahidi wa mamlaka kuhusu uhaini wa mlemavu
 
Maandamano yanataka kibali, yale hayakuwa na kibali.

Sasa mnapokusanyika bila ya kibali jeshi la polisi lina mamlaka ya kutawanya maandamano.

Marehemu ilikuwa accident kwanza hakuwa ata kwenye maandano basi from lilikatiza from nowhere risasi ikampata.

Wakuła umowa ni CDM kulazimisha maandamano yasiyo na kibali.

..hudhani kama kungekuwa na wepesi katika kuwapatia Chadema fomu za mawakala maandamano yangeepukwa, na mauaji yasingetokea?

..mambo mengi huanza na dhuluma dhidi ya Chadema, halafu wakilalamika, au wakipinga, wanajikuta ktk mikono ya vyombo vya dola, na mahakama.
 
JE hiyo ina maanisha hata bajeti hawataichangi?
Je huoni nchi za EU ni muhimu zaidi?
Uwa hawatoi yote na kila mwaka budget yetu uwa na variance ya kutofikia malengo.

Siurce kubwa ya variance ni ahadi hewa za wazungu, serikali ya Tanzania ishawazoea.
 
Hii ndo njia sahihi ya kushughulika na mtu mhuni,akiweka ugoko wewe unaweka jiwe,

Keep on chadema,tuko pamoja
 
Well kama unadhani, binafsi sio mtabiri mzuri wa outcome ambazo zina multiple factors.

So it’s possible, ila ninachojua akitoa maneno ya uchochezi jamaa watatumia sheria kumrudisha keko.
Sioni kama anaogopa hilo. Watu majasiri hawaogopi matokea ya maamuzi yao, na mara zote hupata matokea ya wakitakacho hata kama sio kwa 100%.
 
Mwigulu kwa kuomba misaada amekubuhu, aina maana wasipotoa ndio nchi aiendi.
Hebu jitahidi kuwapa huo ushauri wa kutotafuta misaada; hilo litatusaidia sana kuondokana na wakoloni hawa mapema sana.
Kwa viongozi wote waliomo ndani ya serikali ile sasa hivi, sioni kiongozi wa kusimamia nchi kujitosheleza kwa lolote. Wote ni ombaomba tupu!
 
Back
Top Bottom