Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Nipo pamoja na Madeleka kwanza siamini kama hadi sasa polisi wameshindwa kuwakamata hao wana haramu labda walitaka kupotezea lakini shinikizo limekuwa kubwa hivyo lazima wafikishwe mahakamani.
 
kwenye nchi za watu wenye akili,
hawa watu walikuwa tayari wako mikononi.

kuna watu walitakiwa kujiuzulu nafasi zao.
 
Kweli kaka nimekosea maderaka ni mtu poa dah yule dada ana tia huruma sana
 
Nimekosea kaka nisamehe Ina uma sana mwanamke mwenzetu.kufanyiwa vile
 
Anatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Tumia akili basi, kinachokutoa povu ni hao watuhumiwa kutakiwa kupelekwa mahakamani au kuna nini!?
 
Huyo mwanamke hakufikiria hata kidogo, binti mwenyewe yule unaweza kuta hakuwa anajua kama jamaa kaoa. Hata kama alikuwa anajua, bado mke amefanya uamuzi utakaomgharimu sana tena bila sababu yoyote ya maana.
 
Ndiomana ya kuitwa wakiri. Aliisomea sheria ili aweze kuisaidia jamii inapoonewa na kusimamia haki. Sasa ukisema anatafuta umaarufu hizo ni chuki binafsi
Katika wale wabakaji ana ndugu. Ndiyo maana anatetea huu upumbavu
 
kwenye nchi za watu wenye akili,
hawa watu walikuwa tayari wako mikononi.

kuna watu walitakiwa kujiuzulu nafasi zao.
Nchi hii inapoelekea ni zaidi ya sodoma na gomorrah
Hawa wenye mamlaka wanachokitafuta watakipata

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…