Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au hata yeyeAngefanyiwa dada yako ungesema hivyo?
Kweli kaka nimekosea maderaka ni mtu poa dah yule dada ana tia huruma sanaWapuuzi kama wewe ndo wanasababisha watu wachache wanaendelea kuumia. Madereka ni mmoja tu kati ya wale waliopaza sauti angekuwa ndugu yako amefanyiwa hivo ungefurahi? Kwa nini huyo mwanamke asingewatuma hao wahuni wenzake wakamfire huyo mmewe? Kwani huyo binti ndo alimtongoza huyo mwanaume? Kwa nini asijiulize iweze mmewe atoke nje ya ndoa yake? Hao wapuuzi wenzako hakuna namna tena lazima wafungwe.
Nimekosea kaka nisamehe Ina uma sana mwanamke mwenzetu.kufanyiwa vileWapuuzi kama wewe ndo wanasababisha watu wachache wanaendelea kuumia. Madereka ni mmoja tu kati ya wale waliopaza sauti angekuwa ndugu yako amefanyiwa hivo ungefurahi? Kwa nini huyo mwanamke asingewatuma hao wahuni wenzake wakamfire huyo mmewe? Kwani huyo binti ndo alimtongoza huyo mwanaume? Kwa nini asijiulize iweze mmewe atoke nje ya ndoa yake? Hao wapuuzi wenzako hakuna namna tena lazima wafungwe.
Nisamehe kaka najuta Ina uma sana ukiangalia Ile video yaniFicha upumbavu wako unajifanya hao polisi unawajua peke yako au na wewe ni mmojawapo wa hao polisi? Matukio mangapi ya ajabu hao polisi walishayafanya na wanaendelea kuyafanya? au wewe sio raia wa Tanzania?
Na mimi ukipata naombaNgoja waje watakupatia, ukipewa usisambaze you are making the matter worse.
Tumia akili basi, kinachokutoa povu ni hao watuhumiwa kutakiwa kupelekwa mahakamani au kuna nini!?Anatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Huyo mwanamke hakufikiria hata kidogo, binti mwenyewe yule unaweza kuta hakuwa anajua kama jamaa kaoa. Hata kama alikuwa anajua, bado mke amefanya uamuzi utakaomgharimu sana tena bila sababu yoyote ya maana.Wapuuzi kama wewe ndo wanasababisha watu wachache wanaendelea kuumia. Madereka ni mmoja tu kati ya wale waliopaza sauti angekuwa ndugu yako amefanyiwa hivo ungefurahi? Kwa nini huyo mwanamke asingewatuma hao wahuni wenzake wakamfire huyo mmewe? Kwani huyo binti ndo alimtongoza huyo mwanaume? Kwa nini asijiulize iweze mmewe atoke nje ya ndoa yake? Hao wapuuzi wenzako hakuna namna tena lazima wafungwe.
Ndugu yako ni mmoja wa wabakajiAnatafuta umaarufu tu kila jambo anataka kuonekana yeye kama ni mtu muhimu sana kwenye hili Taifa f****
Katika wale wabakaji ana ndugu. Ndiyo maana anatetea huu upumbavuNdiomana ya kuitwa wakiri. Aliisomea sheria ili aweze kuisaidia jamii inapoonewa na kusimamia haki. Sasa ukisema anatafuta umaarufu hizo ni chuki binafsi
Hapana nisameheNdugu yako ni mmoja wa wabakaji
Nchi hii inapoelekea ni zaidi ya sodoma na gomorrahkwenye nchi za watu wenye akili,
hawa watu walikuwa tayari wako mikononi.
kuna watu walitakiwa kujiuzulu nafasi zao.