Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?

Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?

Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!

KWELI HAKUNA UTEKAJI?
 
Tulishamstukia kitambo sana, hakuwa hata Wakili wa Chadema, alijulikana mapema
 
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?

Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?

Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!

KWELI HAKUNA UTEKAJI?
Haahaa Vyeo vya kisiasa vinawatoa watu akili....
 
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?

Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?

Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!

KWELI HAKUNA UTEKAJI?
If compared to maguli's brutal regime, utekaji kweli umepungua
 
Ukikamatwa wanakurekodi, ndio maana wengi wakirudi uraiani huwa kimya au kutetea walichokuwa wanakosoa
 
Hiyo kazi yake ya upilosi inawezekana ilikiwa 'kifuniko' tu. Lakini uzuri kwa sasa watanzania wanajua wanachokitaka, zama za kudanganya watu mara "oooh.... mimi nafahamiana na Nyerere..... nichagueni nitamwambia awaletee maendeleo!" zilishapita.
 
We hukuona ile kauli aliyomwandikia Sativa huko tweet x.....
"Ndiyo maana washkaji walikufanya vya kukufanya 🤣🤣"
Hiyo ilikuwa ni kauli tosha kujua kuwa huyo ni mmoja wao wanaofurahia mateso ya wengine.....he is among them....he is a traitor,he is a puppet one, snitch....mganga njaa🚮
 
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?

Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?

Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!

KWELI HAKUNA UTEKAJI?
Mwite Petero Madeleka.

Alipokuwa house 🏠 boy kule Migori Kenya alipewa hilo jina.
 
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?

Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?

Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!

KWELI HAKUNA UTEKAJI?
Tatizo mnataka kila mtu awaze kama ninyi

Hamtaki democracy…. Mnataka DOMOcracy
 
Back
Top Bottom