Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

If compared to maguli's brutal regime, utekaji kweli umepungua
si kweli magufuli was afadhali kidogoooooooooooooooooooooooo see the list from TLS
 

Attachments

si kweli magufuli was afadhali kidogoooooooooooooooooooooooo see the list from TLSm
Magufuli ameua watu wengi moja kwa moja na indirectly pia kwa torture nyingi kiuchumi na kwa uonevu. Amewafukuza watu makazini eti vyeti feki kumbe uongo kupata tu populality ndo mana samia aliwarudisha kazini. Hajaajiri miaka mitano wakati samia anaajiri kila siku. Hajapandisha mishahara wakati samia anapandisha kila mwaka. Hawa wapinzani walizuoiwa kufanya siasa na hivyo ajirw zinatokana na siqsa zikaota mbawa. So jpm was an extreme killer
 
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka?

Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli?

Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM!

KWELI HAKUNA UTEKAJI?

Project ya ccm kupitia zitto
 
Ni suala la muda kila mtu kuchanganyikiwa baada ya kulambishwa asali
 
Alipotoka chadema tu hata kesi hapokei tena.

Sasa anaunga juhudi, anajaribu bahati ccm/ACT.
 
Back
Top Bottom