Yes mkuu kuharibu mali iko S.326 ya Penal code anaweza kunyoa hata miaka 7 watu wanachukulia poa umeenda ume spray mali si ya kwako? Bila ruhusa yoyote? Ananyoa hiyoNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Kuharibu Mali hakuna kosa la kuchafua Ukuta kosa Kuharibu Mali chini ya Kifungu 326 cha sheria ya adhabu ya makosa ya jinaiKosa lake ni kumchafua ukuta
Au labda trespass.Yes mkuu kuharibu mali iko S.326 ya Penal code anaweza kunyoa hata miaka 7 watu wanachukulia poa umeenda ume spray mali si ya kwako? Bila ruhusa yoyote? Ananyoa hiyo
Nyie wachumba tu mnawategemea polisi mafalaHuyo wamkabidhi lumumba, tuna kazi naye!
Mbona ya mama yako mpaka kwenye mbuga za wanyama.Au labda trespass.
Muhimu wampeleke mahakamani. Kuna mambo ya extra judicial punishment yanafanyika TZ. Very bad
Elimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheriaMwaipopo alipotangaza na kuonyesha kikundi cha kigaidi polis walinywea. Hata hawakumhoji.
Ndio eneo lenu la utekaji?Huyo wamkabidhi lumumba, tuna kazi naye!
Faini yake ni laki 3Kosa la kuchafua ukuta
Raia wamechoshwa na uonevu.Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi.
My worries: watamuua kama Chaula!
Maxence Melo niwekee picha ionekane Paw
Haina shida, kila Chama cha Siasa kitaanzisha kikundi cha kujilinda kijeshi kwa kanuni na sheria hiyo hiyo.Elimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheria
Ibara ya 146(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Inazipa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Serikali za Vijiji na Mitaa) wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika maeneo yao, jambo linalotoa baraka za kisheria kwa uundaji wa vikundi vya ulinzi vya kijamii (kama sungusungu au ulinzi shirikishi wa mtaa)
Mbona vilikuwepo tu, ni mpaka walugaluga wa maporini walivyokuja kuiharibu Chadema na ushamba mwingiHaina shida, kila Chama cha Siasa kitaanzisha kikundi cha kujilinda kijeshi kwa kanuni na sheria hiyo hiyo.
S.299 PCAu labda trespass.
Muhimu wampeleke mahakamani. Kuna mambo ya extra judicial punishment yanafanyika TZ. Very bad