Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

Hakuna sheria inayotambua kosa linaitwa vandalism, hapo amevandalize nini unaelewa maana ya vadalism au ni fikra zako tu humu jf, nyie wajinga wa ccm mtazeekea jf hadi muwe vikongwe jielimisheni.
Kuna options nyingi ungeweza kuchagua jinsi ya kujibu ila umeamua kujibu kwa mtindo shit sana.
 
Nimekuelewa.
Wasije kuiweka kwenye criminal trespass.
 
Graffiti ni nguzo moja wapo ya hip-hop mwamba ametumia hio njia kupeleka ujumbe kwa wabagazaji na kumkamata ndio ujumbe unavyozid kusambaa kitu ambacho ndio lengo la fanani kufikia hadhira kubwa
 
Acha kujipendekeza Linda mgongo wako
 
Kosa mbona hulitaji? Wewe bush lawyer
Kulingana na comments za wadau humu kuchora ukuta wa taasisi au ukuta wa mtu binafsi sio kosa kisheria. Ni haki ya mchoraji kuchora kadiri anavyojisikia. Ni ruhusa pia kuchora magari ya watu yakiwa parking au kwenye traffic. Kuchora mali ya mtu mwingine ni haki ya mchoraji hivyo hakuna kifungu chochote, I was wrong.
 
Waliosema "OKTOBA TUNATIKI," na "SAMIA 5 TENA" WAKO SAHIHI KWA 100%. LAKINI WALOSEMA, " OKTOBA TUTAKINUKISHA" na "NO REFORMS,NO ELECTION" ni WAHAINI !! Nchi ina laana hii.
 
Tunaona watu wanapaka Rangi na kuandika natangazo kwenye kutq za nyumba, fence na mapaa kutangaxa biashara zao au slogani za kisiasa,mikutano etc sijaona mtu ameshtakiwa!! Why this??
Jibu liko dhahiri: VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NI MALI YA CCM!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…