Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

jE AMEACHANA NA UTOPORO PIA?
 
To bad for him, hakuna la maana, hapo, ni sawa utoke kawe ukwamani, uende Tandale, harafu useme umeondoka uswahili, umeenda sehemu yenye afadhali
 
Nadhani kwenye kuslimu yasingetajwa mambo ya dini zingine kama habari za Yesu n.k
Iwe tu kama kwenye ukristo wewe unakiri Imani unamkataa shetani na mambo yake yote unabatizwa basi.

Habari ya kuingiza mambo ya dini zingine kwamba si sahihi nadhani hapo inakua sio sawa tena ukiwa na maiki na wanahabari ni tabia isiyofaa na inayoonyesha ubaguzi na kutoheshimu dini za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…