AT ndiyo nani jamani? (au kirefu cha hiyo AT ni nini? Mimi mgeni maeneo haya.mbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Hayo maneno yamesemwa na mwanamume?Dumejike[emoji23]
Kuchamba tabia za kike
Amisa Tolu[emoji23]AT ndiyo nani jamani? (au kirefu cha hiyo AT ni nini? Mimi mgeni maeneo haya.
Mzaramo huyuu cjui.kwa nini haimbi taarabumbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
[emoji13]Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Sikupenda alivyomtaja mtukuziKofia za Oliva Mtukuzi!
Mzanzibar...wana vipaji balaa.Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Nakumbuka juzujuzi kuna wasanii walitafutiwa shoo kwa kiki kama hiziWALAH WANATAFUTA KIK' A.T NAMJUA KWELI ANA MANENO YA SHOMBO ILA SIO MITANDAONI. KINACHOFUATA HAPO UTASKIA SHOW NANI ZAIDI KATI TA A.T NA MSECHU.
[emoji13][/QUO
Hivi huyu ni waMkoa au waZanzibar?Mungu wangu kizazi cha wanaume halisi kinatoweka kwa kasi
ila Msechu ndio alianza mkuuMwanaume hutakiwi kusifiwa kuchamba ....
Msechu anyamaze tu.....asimjibu kitu