Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Msechu, kukaa kimya kama Lowassa pia ni jibu la MTU mwenye busara, kubishana NA MTU kama Huyo ni kumpa CV
 
Daaah[emoji14] "Babu eeeh"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] AT shauri yako .
 
Hapana! Nakataaa kabisaaaaa!!! Haiwezekani aseeeee!!! Yaaaani haiwezekaniiiii Mimi bado nimekataaa!!! Nyinyi kama mmekubali kazi kwenu, Mimi hapana! Aseeee hapana! The big NO!!!
 
WALAH WANATAFUTA KIK' A.T NAMJUA KWELI ANA MANENO YA SHOMBO ILA SIO MITANDAONI. KINACHOFUATA HAPO UTASKIA SHOW NANI ZAIDI KATI TA A.T NA MSECHU.
Nakumbuka juzujuzi kuna wasanii walitafutiwa shoo kwa kiki kama hizi
 
Angemfuata inbobo na sio kwenye mitandao ya kijamii huu sio ustaarabu! AT abadilike jmn!!
 
Back
Top Bottom