Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Wanaume wa mikoani mnaona wakuja wenzenu wanavyowatia aibu huku mjini?!
 
kumbe ni kule kwa kaa vizuri,mkwaju waja........................mie hata sishangai....
 

Kwenye red.
Hapa ndo unapobaini tofauti ya mwanaume na mtoto wa kiume. Ovyo sana mwanaume kufyatukwa na neno kama hili.
 
Tangu kisa cha shishi na Vanessa siamini tena hizi drama
 
Haki ya mungu umeniwahi, nilikuwa nastaajabu kuwa mtoto wa kiume anaandika 'babu' na 'pyuuuuuuuu'. Kwa mtindo huu ni halali tu hawa kina dada wajimithilishe na wanaume.
Utadhani da Havijawa wa Nera au kangoso wa Shede lol..... Itabidi tumuandalie kitchen party huyu
 
Hivi Peter Msechu ana undugu na TUndu Lissu?😡
 

Kwa huu uandishi, nna wasiwasi kama AT ni ridh'ki huyu...
 
USISHANGAE HAWA WASANII WA UKAWA NI SHIDA TUPU.. NEY WA MITEGO+AT=MBUMBUMBU
 
Hahahahaa eti mishati kama turubai la msibani
Ila kweli jamaa lile tumbo kazidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…