Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Mmh ana ngebe, ila ndo watu wengi wa pwani walivyo. Maneno mia kidogoana nyimbo za kishombo shombo na kimbea mbea
Mmh najua basi ndugu yanguVifuu tundu maana yake nini Sasa
makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inatisha siku hizi wanaume nao wanasuta mmmhHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Hii itakuwa misamiati ya zenjiMmh najua basi ndugu yangu
Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Vifuu tundu ni watu wasio na maana...wapuuzi puuzi flani hivi.Vifuu tundu maana yake nini Sasa
Asante mkuuVifuu tundu ni watu wasio na maana...wapuuzi puuzi flani hivi.
Na wasanii si sehemu ya sanaa?Ila Rap mi sehemu ya sanaa. I
Afwan...Asante mkuu
Athumani,Muuza supu tandale.Ni nani huyu AT
KabisaaaHii itakuwa misamiati ya zenji
Maisha binafsi ya msanii yanaweza yasiwe sehemu ya sanaa. Rap battle ni sanaa. Ila mishambo ya kwenye mitandao ya kijamii sio sehemu ya sanaa. Meek na drake walitambiana na kuchanana kisaana.Na wasanii si sehemu ya sanaa?
Watu walimsifu Drake kwa kumgaragaza Meek Mill kwenye back to back....
Lakini wakifanya Waswahili kwa kutumia Kiswahili inakuwa nongwa!
Maisha binafsi ya msanii yanaweza yasiwe sehemu ya sanaa. Rap battle ni sanaa. Ila mishambo ya kwenye mitandao ya kijamii sio sehemu ya sanaa. Meek na drake walitambiana na kuchanana kisaana.
Hili neno KUCHAMBA limekaa kiukakasi sana![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]