Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Usijekuta hawa wote wana jinsia mbili tofauti...
 
WANAUME WA ZENJI HAOO...Mwanaume wa ukweli,mlume ndagu..huwezi andika ivi,something is wrong with AT

''' Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”
 
Dah huyo akirudi nyumbani kama ana watoto wanamuamkia shikamoo baba!!! Kama ana mke anaambiwa pole na majukumu mume wangu!! Kumbe jamaa kutwa nzima alichoingiza akilini ni treni ya majungu.
 
Na wasanii si sehemu ya sanaa?

Watu walimsifu Drake kwa kumgaragaza Meek Mill kwenye back to back....

Lakini wakifanya Waswahili kwa kutumia Kiswahili inakuwa nongwa!
Maisha binafsi ya msanii yanaweza yasiwe sehemu ya sanaa. Rap battle ni sanaa. Ila mishambo ya kwenye mitandao ya kijamii sio sehemu ya sanaa. Meek na drake walitambiana na kuchanana kisaana.
 
Maisha binafsi ya msanii yanaweza yasiwe sehemu ya sanaa. Rap battle ni sanaa. Ila mishambo ya kwenye mitandao ya kijamii sio sehemu ya sanaa. Meek na drake walitambiana na kuchanana kisaana.

Una uhakika hawakurushiana maneno Instagram?

Hii nayo je? Oh wait...wao ni wasanii na wanazungumza Kiingereza!

I get it!

50 Cent & Meek Mill Rip Each Other On Instagram
 
Back
Top Bottom