Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

Mama Samia, Rais wetu, nakuomba, viongozi uliowachagua serikalini, ukisikia wanafanya upuuzi au kula rushwa au kunyanyasa wananchi au wana dharau serikali yako, haraka kabisa usiwacheleweshe tumbua haraka sana, wala usisubiri sijui aje ajieleze.. Piga chini haraka sana, maana kuna viongozi kibao umewachagua na chini kwa chini wanakusema vibaya sana na wengine wanaisema vibaya kabisa serikali yako.

Mh. Rais wetu, ukisikia tu, sijui Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, RC, RAS, DCs, DAS, DEDs, wakurugenzi wakuu wa taasisi mbalimbali au viongozi wengine uliowachagua wanakusema hovyo au wanaisema serikali vibaya chini chini, na ww Mh. Rais wetu wapige chini, kimya kimya, yaani mtu akiamka asubuhi anaona katenguliwa tu, sbb wakati wa unamteua hauja discuss nae, pia wakati wa kumtengua wala usi discuss nae..

I know, wako viongozi wengi wanaisema vibaya au wanadharau serikali kichini chini.. Mh. Rais wetu, ukisikia tu, piga chini haraka paaaap, alafu tunasonga mbele na kazi iendelee
Ushauri mzuri sana tena sana kwa mkuu wa nchi.

Kuna baadhi ya mawaziri tena wengine majina yao ni makubwa tu lkn wanamzunguka
 
Mama Samia, Rais wetu, nakuomba, viongozi uliowachagua serikalini, ukisikia wanafanya upuuzi au kula rushwa au kunyanyasa wananchi au wana dharau serikali yako, haraka kabisa usiwacheleweshe tumbua haraka sana, wala usisubiri sijui aje ajieleze.. Piga chini haraka sana, maana LABDA AU HUENDA kuna viongozi kibao umewachagua na chini kwa chini wanakusema vibaya sana na wengine wanaisema vibaya kabisa serikali yako.

Mh. Rais wetu, ukisikia tu, sijui Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, RC, RAS, DCs, DAS, DEDs, wakurugenzi wakuu wa taasisi mbalimbali au viongozi wengine uliowachagua ukipata taarifa wanakusema hovyo au wanaisema serikali vibaya chini chini, na ww Mh. Rais wetu wapige chini, kimya kimya, yaani mtu akiamka asubuhi anaona katenguliwa tu, sbb wakati wa unamteua hauja discuss nae, pia wakati wa kumtengua wala usi discuss nae..

I know, binadamu watu wa ajabu sana, kapewa hadi cheo, ila bado atakusema tu, hawaridhiki, wako viongozi wengi huenda/labda wanaisema vibaya au wanadharau serikali kichini chini.. Mh. Rais wetu, ukisikia tu, piga chini haraka paaaap, alafu tunasonga mbele na kazi iendelee
Hakumchelewesha DC Jane wa kule Sumawanga. Uzi ule ule.
 
Hapa Duniani mabaya ndiyo huwa yanavuma zaidi kuliko mazuri, JPM era ukiingia kwenye ofisi ya Umma kila mtu alikuwa anachangamka ila saizi nidhamu inarudi kule kule
 
Back
Top Bottom