Magu hakuwa MNAFIKI,
Alipenda HAKI, hakupenda maskini kuonewa,
Magu MZALENDO,
Magu mwenye uthubutu, Purely AFRICANISM.
Amesaidia kuondoa JAM DSM.
Ile ndoto uliyopenda uione ya TANZANIA ya MAGUFULI, soon itatimia maana tumehakikisha vision Yako inatimia.
Na hatutonyamaa Hadi Ile Nchi nzuri ulipenda uione itakapotimia.
Tunakushukuru Mungu Kwa zawadi ya Magu.
Amen