Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

Ushauri mzuri sana tena sana kwa mkuu wa nchi.

Kuna baadhi ya mawaziri tena wengine majina yao ni makubwa tu lkn wanamzunguka
 
Kammiss swahiba wake.
Hata mchawi akifa utafeel gap maana utamisi zile purukushani za usiku
 
Hakumchelewesha DC Jane wa kule Sumawanga. Uzi ule ule.
 
Hapa Duniani mabaya ndiyo huwa yanavuma zaidi kuliko mazuri, JPM era ukiingia kwenye ofisi ya Umma kila mtu alikuwa anachangamka ila saizi nidhamu inarudi kule kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…