PoleniNinaelewa sana unachojaribu kueleza hapa.
Ujio wa Lowasssa ndani ya CHADEMA wakati ule ni tofauti kabisa na haya yanayojadiliwa hapa.
Wakati ule kulikuwepo na uwezekano mkubwa wa kuing'oa CCM madarakani. Hilo ndilo lilikuwa jambo muhimu kuliko mengine yote.
Lowassa alikuwa na matumaini ya kuwaondoa CCM kutokana na historia yake tokea nyuma.
Alifanyiwa mizengwe na hao unaowaita wazazi wake.
Kampeni aliyofanya ndiyo iliyomwangusha; vinginevyo hali ingekuwa ngumu huko CCM.
Kuna kitu watu tunashindwa kukielewa. Chama cha siasa is a political vehicle. Mtu analipanda hilo gari kama ana safari (political ambitions). Asiyekuwa na safari hapandi, kwa sababu hahitaji kufanya hivyo.Licha ya matusi yote yale aliyo kuwa ana warushia chadema + vicheko vya dharau na lawama kede kede Leo anarudi chadema
Maana hapo kwanza ncheke
Hawa wanasiasa wa tz walisha wapima raia wa Tanzania na kuwaona ni wajinga so wame amua kuwapeleka wanavyo taka kama ming'ombe
Jifunze siasa itakusaidia kuelewa unacho ulizaMm nijifunze siasa ili inisaidie nn?
Vp yale ya lowassa iliishia vp?
Bado hamjifunzi kutokana na makosa yenu mwnyw? Lowassa baada ya kukosa ulaji kupitia chadema akaamua kurudi ccm, kuelewa h n mpaka muwekwe darasani Au?
Ukishakuwa msaliti, daima n msaliti tuu.
Naona huelewi ninachosema, au unajifanya tu huelewi.Poleni
Ishu ya lowassa ilijawa na tamaa za madaraka na wala sio kumtoa ccm madarakani, kwan angeteuliwa kugombea urais ccm mngesemaje tena?
No one says switching si jambo la kawaida., even then prostitution is frowned upon in many societies; but somehow becomes 'jambo la kawaida'..A search for angels in a sinners house is a futile exercise.
Kwa politicians, switching political parties ni kitu cha kawaida sana! Hata Lissu alijiunga CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi.
Leo umejieleza sana, and I like what I am reading!Licha ya matusi yote yale aliyo kuwa ana warushia chadema + vicheko vya dharau na lawama kede kede Leo anarudi chadema
Maana hapo kwanza ncheke
Hawa wanasiasa wa tz walisha wapima raia wa Tanzania na kuwaona ni wajinga so wame amua kuwapeleka wanavyo taka kama ming'ombe
Hayakuwa maneno matamu. Lowassa alikuwa na 'potential' ya kuwaondoa CCM hata kabla ya ujio wake.Ukiona Mtu anaweza kumsaliti mzazi wake na kuja kwako rafiki yake, usidhani atashindwa kukusaliti ww rafiki.
Sasa chadema wakadanganyika na maneno matamu ya lowassa kuwa wataiondoa ccm
Ndo alichofanya lowassa.
Ukisikiliza kauli zake alipokuwa CCM utagundua kwamba yeye na Mbowe walikuwa na tofauti ambazo zilikuwa irreconcilable (real bad blood). Msigwa alikuwa na options mbili: kuondoka mwenyewe au kusubiri kufukuzwa kwa fedheha kama walivyofanyiwa kina Zitto. Aliona kuondoka mwenyewe ilikuwa better option.No one says switching si jambo la kawaida., even then prostitution is frowned upon in many societies; but somehow becomes 'jambo la kawaida'..
You switch seeking to annihilate (kill) your former party; then you realize your efforts are futile, then you seek to switch again to join the fighters. I have never seen such politics anywhere!
How can this be politics?
In the same breath we should accept what Samia Suluhu Hassan is doing to Tanzania as being politics, "jambo la kawaida" kuua waTanzania! Because it is politics! Mantiki ya ajabu sana.
As hard as you can try, there's no justification that can explain away Msigwa's clear lack of principled ethos.Ukisikiliza kauli zake alipokuwa CCM utagundua kwamba yeye na Mbowe walikuwa na tofauti ambazo zilikuwa irreconcilable (real bad blood). Msigwa alikuwa na options mbili: kuondoka mwenyewe au kusubiri kufukuzwa kwa fedheha kama walivyofanyiwa kina Zitto. Aliona kuondoka mwenyewe ilikuwa better option.
Unfortunately, Msigwa alikuwa amepoteza matumaini ya uwezekano wa Mbowe kung’atuka anytime soon. Na kwa assessment yake, CHADEMA, chini ya uongozi wa Mbowe, was no longer his preferred political vehicle!
The building or rebuilding of trust is gradual and deliberate. I am sure he knows that mere words aren’t going to do the trick.As hard as you can try, there's no justification that can explain away Msigwa's clear lack of principled ethos.
The fact that he even shows no convincing remorse for his wayward behavior, puts him among the worst unreliable individuals.
Now that you evoke Mbowe's name; that episode itself is a clear signal if Msigwa's unreliability.
I'll remind you of the story he created against Sugu when he actually lost an election; and his subsequent efforts to rope in his so called friend Tundu Lissu. Very glad that he was ignored.
The bottomline is this: if CHADEMA wants to differentiate itself from the politics of deceit; and genuinely become a true political party with specific convictions; then it has to work hard standing fo this ideal.The building or rebuilding of trust is gradual and deliberate. I am sure he knows that mere words aren’t going to do the trick.
His decision to come back means he is ready to do what it takes to mend fences!
Time will tell.The bottomline is this: if CHADEMA wants to differentiate itself from the politics of deceit; and genuinely become a true political party with specific convictions; then it has to work hard standing fo this ideal.
Which means the membership of the party believe in the same convictions.
If that should be the case, then the types of Msigwa will automatically have no place in the leadership of the party. Because leaders will be elected by discerning members who will effectively prune out the dead wood from the party.
It is my sincere belief that CHADEMA has learnt an important lesson from its own past; but also what has been going on in CCM to succumb to the same failures again.
For that reasonalone, there should be no fear from such turncoats like Msigwa.
NO.Time will tell.