Pre GE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anajidharaulisha tu Watanzania wa sasa sio wa miaka ile ya kudanganywa danganywa πŸ˜³πŸ™Œ
Na hapo ndiko alikofeli sana, uelewa wa watu umebadilika na unabadilika kila kukicha, hii mbinu haiwezi kuwa na tija tena. Utandawazi unakua kwa kasi sana, taarifa zinakuwa shared kwa kiwango kikubwa sana, vijana wanaongezeka sana.
 
Sio kwa FaizaFoxy , alikuwa mpinzani mkubwa sana wa jiwe na hakuwahi kumuunga mkono, Nyerere kila akitajwa lazima afure na kutowa povu.
Ukweli humweka mtu huru, au huamini hilo?

Unataka muono wako ndiyo uwe wangu? Majanga.
 
kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, elewa kuwa najivunia sana Uislam wangu.

Kumbuka hilo.

Ulifikiri Magoma mgalatia? umebugi.
Na kweli unajivunia dini yako bila kificho. Kama ningeamua kuabudu hizi dini zetu, kwa kweli kabisa toka ndani ya moyo wangu nigechagua kuwa muislamu. Hawana unafiki na janja janja nyingi, alafu ni dini moja very socio na easy kublend na tamaduni zetu weusi. Bahati mbaya nimeamua kubaki na imani zetu za jadi.
 
kuna kitu msigwa ananikera kwa kumwita mbowe "NKURUNZINZA", bila kujua familia ya huyo marehemu kule burundi itaumia ikisikia anataja hilo jina.
 
Jamaa amechanganyikiwa sana.
 
Mwambie Msigwa asiwe na wasiwasi, Mbowe tulishamweka mfukoni siku nyingi sana.
 
Msigwa sio wa kumpuuza, alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema, pengine ana habari za ndani kuhusu uovu unaopangwa na Chadema
 
Msigwa sio wa kumpuuza, alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema, pengine ana habari za ndani kuhusu uovu unaopangwa na Chadema
of course anajua mengi sana ndio maan ambowe katulia kimyaa anajua jamaa atamwaga mboga yote akitoa neno lolote. namshauri anyamaze ivo ivo awe anaugulia chini kwa chini. ila siasa ni uhuni sana aisee.
 
Huyu ndugu anaweza kuja kumbana na
Ipo laana kuu itakua juu ya msigwa
 
Nataman Sana wananchi wazinduke tuache kuchezewa na Hawa wanasiasa.
 
Gonga Spana Mkuu.

Iringa Chadema inaweweseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…