Nawashauri CHADEMA watengeneze clip ya hiki kinachofanyika hapa ili wananchi wengine tujue namna waunga juhudi wanavyofundishwa cha kusema!Ama kweli Msigwa kaamua kujitia dole mwenyewe, Msigwa huyu aliyekuwa anaongea kwa kujiamini bungeni na bunge lote linakuwa kimya kumsikiliza kwa madini anayotema leo hii anafundishwa cha kusema na huyu kifutu Makalla. Amejidhalilisha sana yeye binafsi na familia yake. Msigwa akiwa kwenye ufahamu wake halisi anamzidi mara 100 huyu kifutu Makalla kwa uwezo wa kuongea na kujenga hoja.
Rudi kanisani!Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
U..Msigwa alipaswa kwenda chama kingine cha upinzani.
..sio kwenda CCM na kuvalishwa mashati ya mboga-mboga na kupangiwa nini cha kusema.
..hata Mbowe anayemshutumu hakuwahi kumdhalilisha Msigwa kama alivyofanya Amos Makala.
Sawa kabisa!Nawashauri CHADEMA watengeneze clip ya hiki kinachofanyika hapa ili wananchi wengine tujue namna waunga juhudi wanavyofundishwa cha kusema!
Wewe nawe una haraka ya kwenda wapi? Clip ina dakika 1.02 hiyo dakika ya 4 umeitoa wapi?Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20
Hata wewe, ikitokea umenunua mbwa, ndiye utakayeamua afungiwe wakati gano, na afunguliwe muda gani. Lakini kuna wakati anaweza kuanza kubweka muda asiotaka kubweka, hivyo inabidi umkaripie na kumwelekeza.Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Hawezi kusumbua, maana Hana impact yeyote. Waliondoka kina kaborou na Slaa katika kipindi kigumu ila chama kikaendelea.Huyu mwana saccos atawasumbua sana. Alikuwa jikoni, mlipanga nae mishe zote atawavua kila kitu.
Wachukuwe fomu wamng'owe kwenye uchaguzi kama Msigwa alivyong'olewa kwenye uchaguzi, ndio demokrasia inavyotaka.Vipi Mbowe? Yeye tatizo lake nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Ukishanunuliwa huwezi kuwa na heshima wala huwezi kuheshimika...wanamdhalilisha Msigwa.
..huyu anahitaji kukombolewa.
..Nitaanzisha mchango wa kumkomboa kumsaidia arudishe dau alilolipwa.
Ingekuwa hivyo CCM wasingempokea. Kiongozi mmoja wa CHADEMA ana value kubwa kuliko wanachama elfu 10 wa CCM.Wacha tuone kama ataendelea kuandikiwa kule chadema hakuna muongozo ni mirembe ward ya vichaa kila mmoja anaropoka ndio maana huwezi kuta mtu mzima kapunguza ukali wa maneno badala ya kusema kinyesi anasema mavi!
Sio ubovu wa vyama vya upinzani Bali ubovu wa katiba na mfumo wa uchaguzi.Yaani kuonyeshwa Jambo ndiyo Kupangiwa nini cha Kusema? Nadhani CHADEMA ingejikita katika Kujitafakari kuliko Kujitetea huku kwa Kitoto kuwa Msigwa anapangiwa cha Kusema na Makalla / CCM.
Madai ya Msigwa yana Ukweli kwa 85% japo CHADEMA mtajificha katika Kichaka cha Kusema mabaya au mapungufu ya CCM ambayo imeshajipanga Kuongoza milele Tanzania kwa gharama za Ubovu wenu Vyama vya Upinzani nchini Tanzania.
Pamoja kwamba Napinga Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti, ila kila uchaguzi amekuwa akigombea na watu wengine."Uwenyekiti anataka yeye maisha".
Tubishe hilo kwanza.
Utawala mbovu wa CCMVipi Mbowe? Yeye tatizo lake nini?
Tunamshukuru kwa Kazi nzuri aliyofanya akiwa Chadema ya kueneza Elimu ya Haki, uhuru na Demokrasia kabla hajaasi.Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Wewe nawe una haraka ya kwenda wapi? Clip ina dakika 1.02 hiyo dakika ya 4 umeitoa wapi?
Tafuta propaganda nyingine, hii ilishachuja enzi Mzee wa Wassira bado mbunge.Matokeo ya Chaga Development manifesto mwenye maamuzi ya chama ni Mbowe na mkewe ubaguzi hautawaacha Chadema salama
Utawala mbovu alioupenda Msigwa, kawacha utawala mzuri wa kifamilia chadema, au siyo?Utawala mbovu wa CCM
Ambao Kitila Mkumbo kaufata? Kawacha utawala mzuri wa Mbowe, au siyo?Utawala mbovu wa CCM