Bora ingekuwa hivyo.Ni kusema tunalipia gharama za kumkabidhi mtu mwenye uwezo mdogo kuliko ule unaotakiwa kwa kazi tuliyompa?
Nyumba je?Mali za UDA vipi jamani??
Bora ingekuwa hivyo.
Tunalipia gharama za kutokuwa na mfumo wa kutuwezesha kupaza watu ngazi kwa uwezo na kuchuja watu kwa kuangalia ufanisi!
Mfumo wetu umekaa kumzawadia mtu anayeweza maigizo zaidi ya anayeweza kazi.
Of course tunakuwa impressed na maigizo, tunafikiri ni kazi.
Tukija kustuka maigizo wengi wetu, ni mwaka wa nne wa urais. Partly kwa sababu tuna utamaduni wa "mpeni muda" saaana.
Na kuna wengine bado wapo ndotoni mpaka siku ya mwisho.
Kwa sasa hivi wameshajiaminisha kwamba maigizo ndiyo kazi.Na kutokana na mfumo mbovu, wakishaingia kwa maigizo, wanaweza kukosea mambo yote isipokua jambo moja tu, kuhakikisha wanarudi tena madarakani kwa awamu ya pili kumalizia muhula. Hilo wanalifanya kwa ufanisi
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Kwa sasa hivi wameshajiaminisha kwamba maigizo ndiyo kazi.
Kwa hiyo Mh. Mkapa nae akamatwe kwa kuuza nyumba za serikali?Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Through court.......vipi kuhusu watu wasiojulikana....?? Inawezekana wanakuteka, wanakutesa, unasaini makabidhiano ndio wanaamua wakuache au wakuwakumalizemmnh 'watapata tabu sana'
lakini kama ni za kwake kihalali,si awachallenge magufuli na ccm yake through court...
soma na post namba 14Magufuli afanye kazi tu hamna namna kwa sasa na naamini tutafika mbali sanaa na bora aongoze miaka yote tu ndio cha muhimu....
Katili hakuna mfano wake huyu tyrant..Ila jiwe ana roho ya choyo ya kutopenda wenzie wawe nacho.
Acha uwongo wako hapa!Mbaya sana awamu hii ni dhuluma kwa kwenda mbele! mfanyabiashara ni adui.Mungu yupo lakini
kawaulize chadema wenye halmashauri ya jijiMali za UDA vipi jamani??