Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

Ni kusema tunalipia gharama za kumkabidhi mtu mwenye uwezo mdogo kuliko ule unaotakiwa kwa kazi tuliyompa?
Bora ingekuwa hivyo.

Tunalipia gharama za kutokuwa na mfumo wa kutuwezesha kupaza watu ngazi kwa uwezo na kuchuja watu kwa kuangalia ufanisi!

Mfumo wetu umekaa kumzawadia mtu anayeweza maigizo zaidi ya anayeweza kazi.

Of course tunakuwa impressed na maigizo, tunafikiri ni kazi.

Tukija kustuka maigizo wengi wetu, ni mwaka wa nne wa urais. Partly kwa sababu tuna utamaduni wa "mpeni muda" saaana.

Na kuna wengine bado wapo ndotoni mpaka siku ya mwisho.
 
Na kutokana na mfumo mbovu, wakishaingia kwa maigizo, wanaweza kukosea mambo yote isipokua jambo moja tu, kuhakikisha wanarudi tena madarakani kwa awamu ya pili kumalizia muhula. Hilo wanalifanya kwa ufanisi
 
Huyu Zakaria atakuwa na roho mbaya sana. Kwa nini aliacha mke wake asote rumande kwa mwaka mzima kwa kosa la kupora mali za NCU wakati mporaji ni yeye, nyaraka za uporaji huo anazo yeye na mke wake alimlazimisha tu kuweka saini yake kwenye nyaraka hizo za uporaji. Sasa baada ya kutiwa jamba jamba na maofisa usalama wa taifa kuhusu jambo hilo, sasa eti ndiyo anarudisha nyaraka hizo tena baada ya kuwamiminia risasi baadhi ya wanausalama hao kwa lengo la kuwaua!
Lazima ataendelea kupata taabu sana hata baada ya kurejesha nyaraka hizo. Mke wake ndiye aachiwe huru lakini Zakaria aendelee kusota rumande na kesi ya uhujumu uchumi wa mali za NCU isiyokuwa na dhamana.
 
Na kutokana na mfumo mbovu, wakishaingia kwa maigizo, wanaweza kukosea mambo yote isipokua jambo moja tu, kuhakikisha wanarudi tena madarakani kwa awamu ya pili kumalizia muhula. Hilo wanalifanya kwa ufanisi
Kwa sasa hivi wameshajiaminisha kwamba maigizo ndiyo kazi.
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!

Time will tell waliouza nyumba za serikali nao watafilisiwa
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Kwa hiyo Mh. Mkapa nae akamatwe kwa kuuza nyumba za serikali?
 
Nchi inapelekwa kijambazi kabisa. RC anasema waliovamia kwa Zakaria ni maafisa usalama na wametambulika baada ya kuchapwa risasi.
Ni wazi kabisa walitaka kumteka na kumuua maana haijasemwa sababu nyingine why wao na sio Polisi? Na kwa nini usiku?
Pili oneni ubaya huu, Gari wakaweka namba za bandia ambazo ni namba za mfanyabiashara mwingine anayejulikana ili hata wakinuua wanaacha uhasama na huyo mwenye kufahamika kumiliki Gari ya namba hizo.
Jee kweli huo ni usalama Wa taifa au UHASAMA Wa taifa? Matatizo yetu kwa sasa ni from within
 
I am sorry lakini Mimi sina huruma na hawa wafadhili wa ccm. It is brutal lakini ngoja JPM awanyooshe. Walikuwa wanatumia chama kuficha utapeli wao. Ndo maana tumekuwa tukiona wafanyabiashara wengi wanaingia ccm au kuishabikia ccm. It's all self interest. Ngoja Jiwe awanyooshe.
 
mmnh 'watapata tabu sana'

lakini kama ni za kwake kihalali,si awachallenge magufuli na ccm yake through court...
Through court.......vipi kuhusu watu wasiojulikana....?? Inawezekana wanakuteka, wanakutesa, unasaini makabidhiano ndio wanaamua wakuache au wakuwakumalize
 
Ila jiwe ana roho ya choyo ya kutopenda wenzie wawe nacho.
Katili hakuna mfano wake huyu tyrant..
Halafu hapo utakuta kuna wengine pls wameuziwa mali za CCM au vyama vya ushirika hawaguswi kwa vile ni jamaa zake..
Mbona Majaliwa haguswi na amenunua shule Lindi ya Umoja wa Wazazi kupitia mke wake..?
 
Serikali inarudishiw mali zake na bado kuna mataira wanalalamika!
Totally pathetic walahi!
 
They are entitled to a presumption of innocence.

No person should be deprived of his or her property without due process of law.
 
Mali za UDA vipi jamani??
kawaulize chadema wenye halmashauri ya jiji
Mwaka 2015,kina kubenea na mdee walikua wanabweka kama mbwa koko,na waliapa kuifufua uda.Uongozi sio kupiga kelele bulaza,alichofanyiwa huyo zakaria,wezi wenzie wote wataanza kurudisha maljengo walionunua kwa elfu ishirini.Moshi huko tayari watu saba ndani
 
Back
Top Bottom