Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Bora ingekuwa hivyo.Ni kusema tunalipia gharama za kumkabidhi mtu mwenye uwezo mdogo kuliko ule unaotakiwa kwa kazi tuliyompa?
Tunalipia gharama za kutokuwa na mfumo wa kutuwezesha kupaza watu ngazi kwa uwezo na kuchuja watu kwa kuangalia ufanisi!
Mfumo wetu umekaa kumzawadia mtu anayeweza maigizo zaidi ya anayeweza kazi.
Of course tunakuwa impressed na maigizo, tunafikiri ni kazi.
Tukija kustuka maigizo wengi wetu, ni mwaka wa nne wa urais. Partly kwa sababu tuna utamaduni wa "mpeni muda" saaana.
Na kuna wengine bado wapo ndotoni mpaka siku ya mwisho.