Tru. anavuta bangi kali sana ndo maana muda wote smiles
Tru,mi huwa napenda kuzungukwa na watu wa dizaini yake sababu namie niko hivyohivyo.kuna sehemu moja tunapataga chakula cha mchana sinza.. nae ndie sehemu yake ya kula.. so tunakutana sana.. hadi wahudumu wa pale wanamuita huzuni mwiko.... jamaa anafuraha sana. na yeye anasema ndivyo alivyo toka mtoto hajawai pigana na mtu au kununa nuna
Abeeeeh jolieeeeeHuhuhuuuu shunie karudiiiii
Mdananda ni mtu wa kujipendekeza kwa watu kwenye hela yaan marafiki zake wengi utakuta wana hela ye hana chochoteNaomba nipate tafasiri ya mdananda kama hutajali
Asante sana hata mimi ni mdananda kumbeMdananda ni mtu wa kujipendekeza kwa watu kwenye hela yaan marafiki zake wengi utakuta wana hela ye hana chochote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mana ulitaka kujuaAsante sana hata mimi ni mdananda kumbe
Hewaaaa maana wewe uwe kapuku halafu ufuatane na makapuku wenzio, si ni kiama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mana ulitaka kujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zanguHewaaaa maana wewe uwe kapuku halafu ufuatane na makapuku wenzio, si ni kiama
Stupid kabisa huyo unayemsema ni bonge la mario analelewa na dada yake domo na tena kabla ya hapo alikuwa ni kibaraka wa nyumbu sepenga,wewe ulishawahi kuona bilionea anatembelea alteza used?Ndio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake
Huyo unayemuongelea ni yule petit shemejiye diamond au?kuna sehemu moja tunapataga chakula cha mchana sinza.. nae ndie sehemu yake ya kula.. so tunakutana sana.. hadi wahudumu wa pale wanamuita huzuni mwiko.... jamaa anafuraha sana. na yeye anasema ndivyo alivyo toka mtoto hajawai pigana na mtu au kununa nuna
Ndio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]Stupid kabisa huyo unayemsema ni bonge la mario analelewa na dada yake domo na tena kabla ya hapo alikuwa ni kibaraka wa nyumbu sepenga,wewe ulishawahi kuona bilionea anatembelea alteza used?
HakikaYou know nothing....