lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Ana ukongo gani bana..mTanzania yulePetii Kumbe ni mkongo
Mzee baba usipate shida sana,watanzania ni wachawi wa asili na zawadi hiyo tumerithi kutoka kwa NyerereWanongo bwana, kwa kifupi event nzima imekuwa sponsored na safaricom, diamond kashalipwa chake. Ni sawa na kusema huyo petit man kawasaidia safaricom kufanikisha event ya diamond huko Kenya. Ninaamza kuamini kwa nini diamond hakufanya hiyo event Tanzania, maana hata juhudi zake ndogo hamuamini mpaka mnaanza kutafuta nani yupo nyuma yake. WaTz wengi hawaamini kufanikiwa bila kubebwa.
bila shaka utakuwa unamzungumzia pia babu keanu aka kiba100Mdananda ni mtu wa kujipendekeza kwa watu kwenye hela yaan marafiki zake wengi utakuta wana hela ye hana chochote
nafurahig sana huyo jamaa nikimuona.. ana furaha mda wote.. nahisi ni bilionea wa furaha sio wa fedha... maisha yake simple sana ila ana furaha sana.. ukimwona muda wote