peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
[emoji38][emoji38][emoji38] Noma kweli yaani !Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna Phd zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta Phd ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.
Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh Suleman Jafo nayo ipo matstani kufutwa.
Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
Noma ya nini?[emoji38][emoji38][emoji38] Noma kweli yaani !
Rudi shuleNoma ya nini?
Ukiwa na umri mkubwa sana huwezi kunielewaNoma ya nini?
Kukariri PhDRudi shule
Hahaha......... Chadema bhana!Ukiwa na umri mkubwa sana huwezi kunielewa
Hakunaga jambo jipya chini ya juaIfutwe maana mwenye nayo ni mzigo na PhD hazipendi mizigo.
Kosa halihalalishi kosa kuwa halali!Burundi?
Tatizo siyo PhD bali Urais
Mbona PhD ya Slaa ilisifiwa sana Chadema?!
Hongera yake kwa negative accelerationTumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.
Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.
Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .