Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania

Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.

Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
 
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna Phd zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania

Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta Phd ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh Suleman Jafo nayo ipo matstani kufutwa.

Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
[emoji38][emoji38][emoji38] Noma kweli yaani !
 
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania

Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.

Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
Hongera yake kwa negative acceleration
 
Mimi PhD ya Jafo ni Mungu tu anisamehe.

Hawa watu walikuwa mawaziri enzi ya Magufuli, Magufuli yule aliyetaka muda wote watu wafanye kazi. Walipata wapi muda wa kufanyia kazi hizo PhD?

Elimu za watu waliosoma baada ya kuwa viongozi zina mashaka makubwa sana.
 
Back
Top Bottom