Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

Vilaza wengi sana katika kundi tajwa
 
 

Attachments

  • 3F992089-D420-4B6F-BFC6-A59B36DC678D.jpeg
    35.1 KB · Views: 4
Aisee! Kumbe kuna watu wana PhD za mchongo? Kama ni ya mchongo ifutwe tu. Na afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa kufanya udanganyifu huku akiwa kiongozi wa umma. Na huo uongozi aliopewa nao ufutwe!😡😡😡😡😡😡
 
Vilaza wengi sana katika kundi tajwa
Ukihoji wanadhani unaona wivu, ila ukweli utabaki kuwa ukweli tu.

Kwenye hizi taasisi zetu za elimu sasa hivi utateseka na kupata cheti kihalali kama huna pesa tu.

Jafo huyu huyu aliyekuwa waziri wa TAMISEMI chini ya JPM mtu wa kazi, alipata wapi muda wa kusoma na kuandaa andiko na hatukuwahi muona likizo?

 
Hata yeye si alipata yake akiwa waziri? Kundi lile lile la WhatsApp, tofauti ni maadmin tu.
Kabisa.

Ila ilipohojiwa mlango wa kuzimu ulifunguka na Shetani akatuma malaika wake kuitikisa Mbingu, lakini UKUU WA MUNGU UKATAMALAKI na Mwanamapinduzi akapokelewa na hatia yake imebaki mioyoni na mikononi mwao.
 
Ndio maana Viongozi wa pale Ufipa st hawatakagi Ujinga mfano Tundu Antipas Lisu hataki PhD ya .mchongoma
 
Bora apunguzwe speed ya kuwania uraisi maana kama figisu basi Mzee wa msoga ni master na mwigulu asifikirie kupata uraisi kama Mzee wa msoga atakuwa hai
 
Hahahahahaha urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…