Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

Wakati wewe unawaza PhD ya Mwigulu kufutwa, taasisi za economic rating zinamsifu kwa kudhibiti mfumuko wa bei kuwa chini ya 6% Kinyume kabisa na Nchi nyingi za Afrika na Dunia..

So tatizo sio PhD tatizo ni kuwa intelligent
 
Attachments

  • 434C5F65-8678-4439-A907-33CD0895C111.jpeg
    25 KB · Views: 4
Na ikitokea zikafutwa kweli kwasababu ya wavimba macho wa JF basi mimi Mtoto wa Shule nitatangaza kuondoka JF nirudi shuleni kusoma.
 
Mwigulu nilikia aimfaham mpaka uchaguzi wa 2015...hahah aisee jamaa ni kanjanja
 
Mkuu hapa unatupiga kamba, Mwigulu PhD yake ni ya udsm hivyo anaeweza kuifuta degree hiyo ni senate ya udsm FULLSTOP. Mengine yote ni hadithi za abunuwasi.
 
Mkuu hapa unatupiga kamba, Mwigulu PhD yake ni ya udsm hivyo anaeweza kuifuta degree hiyo ni senate ya udsm FULLSTOP. Mengine yote ni hadithi za abunuwasi.
Kuwa mpole, inafutwa mkuu
 
Quality assurance ndio wameliibua sasa limeshapelekwa senate ya chuo kikuu cha Dar kwa ajili ya kufutwa rasmi.

Ili ujue jambo hili ni kweli UDSM wakanushe au Nchemba akamushe.

Hili jambo ni kweli na nimelitoa strong room
Kama limepelekwa senate ya udsm ni sawa wao ndio watachunguza ili kuthibitisha kama ni kweli na kufanya maamuzi.
 
Jafo na Wanawake zake 4 anapata wapi muda aa kusoma..... Hii Nchi imejaa Usanii sana
 
Wakati wewe unawaza PhD ya Mwigulu kufutwa, taasisi za economic rating zinamsifu kwa kudhibiti mfumuko wa bei kuwa chini ya 6% Kinyume kabisa na Nchi nyingi za Afrika na Dunia..

So tatizo sio PhD tatizo ni kuwa intelligent
kwahiyo wewe nae kwa akili zako unaona madelu ni intelligent?? Basi utakua umezungukwa na mandezi maisha yako yote kiasi kwamba hujui mtu intelligent yukoje
 
Burundi?

Tatizo siyo PhD bali Urais

Mbona PhD ya Slaa ilisifiwa sana Chadema?!
Phd ya slaa haina utata,
Kanisa katoliki hawababaishi kama wengine, mfano mzuri kati ya waliofuzu shule ya uwakili 13 kati ya 26 wametoka St. Augustine.
Jiulize hapo kwanza
 
Quality assurance ndio wameliibua sasa limeshapelekwa senate ya chuo kikuu cha Dar kwa ajili ya kufutwa rasmi.

Ili ujue jambo hili ni kweli UDSM wakanushe au Nchemba akamushe.

Hili jambo ni kweli na nimelitoa strong room
πŸ‘Mkuu Ongeza muda wa kulala strong room ili uniletee mengi. Mtu primary anasoma kama Lameck, sekondari ni Mwigulu lazima kuna kitu uhakiki Sawa mahali. Ni Sawa na Bashite aliyepata 0 Form IV leo hii ni graduate wa MUCCOBS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…