Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Msosi ni endelevu
 
Atapewa na nani kwa kila anachokitaka?
 
Dooo nini hio mkuu, pesa za masharti ama? Mkuu life ni utapeli sana. Kuna muda unafika unajitafakari hadi unasema au mm niliumbwa kuwa mfano wa watu wengine? Nitumike wajifunze kupitia mimi wafanikiwe?

Mkuu 32yrs sina ramani ya maisha. Sina mpenzi wa kusema nikijipata kesho namuoa😂 alooo sio poa. Kuna muda unawaangalia wana wanavyo ishiblife poaa unasema haya bana labda yangu bado.
 
Maisha yana kanuni zake ili ufanikiwe wewe unatumia kanuni zipi?
 
Kwa wiki analipwa £200,000 ambayo ni karibu Tsh million 650 ni sawa kabisa yeye kuwa na mke na watoto.

Sasa we muige wakati unaishi kwa kubeti unaweza 500 alafu unataka ushinde million 200.
 
Maisha yana kanuni zake ili ufanikiwe wewe unatumia kanuni zipi?
Mkuu wewe unaongelea utajiri, mimi naongelea mafanikio basic needs. Hizo kanuni nadhani unamaanisha matajiri. Ila kuna hawa wana labda umeaoma nao tu wanaishi life la kawaida sio la utajiri ila la kupata anachokitaka. Mfani kwenye circle yako ya wana wengi unakuta mlisoma wote, wao wametatavkazi mzuri zenye maslahi, halafu wewe huna hata hakika ya kupokea mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…