Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Muda wako utafika utakinai mwenyewe

Nitakupa story ndogo kuna kipindi nilikua nalalamika Sina chakula nikachukuliwa nikapelekwa sehemu usiku unapewa kila chakula unachotaka wewe lakini nimwambie hicho chakula sharti ni moja Kula hapohapo tu hakuna kuondoka nacho kwa hio unajikuta umekula sana Sahani mbili tu ninaposema kila chakula namaanisha kila chakula unafika muda unakinai kabisa yaan mahotpot unabaki kuyaangalia tu hivi unachagua chakula kingine unaacha

Moral of the story:

Maana yake ni kwamba kuna muda utafika wewe utapewa kila kitu unachokitaka na urafi wako wa kutaka kila kitu mpaka utakinai mwenyewe na utataka kugawa Ila sharti lingine hauruhusiwi kugawa hicho chakula ni cha kwako TU na usimpe mtu mwingine yeyote kwa hio inafika wakati watu wenye njaa wanakuja kuomba uwape Ila ukikumbuka sharti ulilopewa unaishia kusema huna chakula na ilihali wanakiona chakula kile pale na hauwapi
Msosi ni endelevu
 
Muda wako utafika utakinai mwenyewe

Nitakupa story ndogo

Kuna kipindi nilikua nalalamika Sina chakula nikachukuliwa nikapelekwa sehemu usiku unapewa kila chakula unachotaka wewe lakini nimwambie hicho chakula sharti ni moja Kula hapohapo tu hakuna kuondoka nacho kwa hio unajikuta umekula sana Sahani mbili tu ninaposema kila chakula namaanisha kila chakula unafika muda unakinai kabisa yaan mahotpot unabaki kuyaangalia tu hivi unachagua chakula kingine unaacha

Atapewa na nani kwa kila anachokitaka?
 
Dooo nini hio mkuu, pesa za masharti ama? Mkuu life ni utapeli sana. Kuna muda unafika unajitafakari hadi unasema au mm niliumbwa kuwa mfano wa watu wengine? Nitumike wajifunze kupitia mimi wafanikiwe?

Mkuu 32yrs sina ramani ya maisha. Sina mpenzi wa kusema nikijipata kesho namuoašŸ˜‚ alooo sio poa. Kuna muda unawaangalia wana wanavyo ishiblife poaa unasema haya bana labda yangu bado.
 
Maisha yana kanuni zake ili ufanikiwe wewe unatumia kanuni zipi?
 
Kwa wiki analipwa £200,000 ambayo ni karibu Tsh million 650 ni sawa kabisa yeye kuwa na mke na watoto.

Sasa we muige wakati unaishi kwa kubeti unaweza 500 alafu unataka ushinde million 200.
 
Maisha yana kanuni zake ili ufanikiwe wewe unatumia kanuni zipi?
Mkuu wewe unaongelea utajiri, mimi naongelea mafanikio basic needs. Hizo kanuni nadhani unamaanisha matajiri. Ila kuna hawa wana labda umeaoma nao tu wanaishi life la kawaida sio la utajiri ila la kupata anachokitaka. Mfani kwenye circle yako ya wana wengi unakuta mlisoma wote, wao wametatavkazi mzuri zenye maslahi, halafu wewe huna hata hakika ya kupokea mwisho wa mwezi
 
Back
Top Bottom