Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Na kwanza,hapo ni kwenu.Wafukuze baba na mama yako waambie nao warudi kwa wazazi wao.Kwanini nitoke nyumbani wakati nakula na kushiba?
Sasa haujui alafu unajitia ujuaji utajulishwa vipi Shekhe wangu, umekiuka kanuni ya ukimya na usikivu kwa hio we ni ZombieSasa si ndio maana nikakuuliza wewe unayejua unijulishe? Mbona unaanza kutupa ngumi kama vile umeshikwa trako? Huo upumbavu wa kuitana Zombie nenda kamuite Mamako hivyo atafurahi tu.
Kwanini nitoke nyumbani wakati nakula na kushiba?
Naongelea mafanikio km mafanikio kwako ni utajiri basi nakupa Pole ndio maana unaishi kwa kujilaumu mwenyewe bila kuelewa na kujua kwanini unajilaumu mwenyeweMkuu wewe unaongelea utajiri, mimi naongelea mafanikio basic needs. Hizo kanuni nadhani unamaanisha matajiri.
Kuna kanuni lazima uzijue na kuzifuata usipozifuata ndio unaishia kujilaumu, -ukitaka kufika mbali tembea na group ukitaka kufika haraka nenda mwenyewe na hio ni kanuni mojawapoMfani kwenye circle yako ya wana wengi unakuta mlisoma wote, wao wametatavkazi mzuri zenye maslahi, halafu wewe huna hata hakika ya kupokea mwisho wa mwezi
Unaweza kuziandika hapa? Au ni siri😂Kuna kanuni lazima uzijue na kuzifuata
Swali la msingi sana hiliKwanini nitoke nyumbani wakati nakula na kushiba?
Soma juu hapo nimeandika mboni zipo wazi kabisa SIO SiriUnaweza kuziandika hapa? Au ni siri😂
Naunga mkono hoja kaka wengine umri huu wa 31 bado wanaomba afu tatu 😂😁Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.
Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
Hakikisha una bimaNaunga mkono hoja kaka wengine umri huu wa 31 bado wanaomba afu tatu 😂😁
Aisee 😂Hata Yesu hadi leo yuko mbinguni kwa babake
Naunga mkono hojaAfrica mfumo wetu wa elimu unatuchelewesha Sana.
Huku Africa mtu mwenye miaka 23 ndo Kwanza atakuwa Yuko chuo mwaka wa mwisho anatafuta cheti.
Tusiwe tunalinganisha mfumo wetu wa maisha na wa wazungu.
Kabisa kaka😂😁Hakikisha una bima
hajafikiria hilo, suala la kuoa nila mtu binafsi wala haliingiliani na kipatoKuna mtu ana umri kama wako amesha-dead
Wewe bado upo tu
Ujuaji upi? Nimekuuliza kwa heshima ila ukajitia upumbavu wa kujitoa ufahamu,ndio maana watu kama wewe wenye maneno ya kike kike hua nadeal nanyi kama mnavyokuja,Sasa haujui alafu unajitia ujuaji utajulishwa vipi Shekhe wangu, umekiuka kanuni ya ukimya na usikivu kwa hio we ni Zombie
Wewe unataka fujo alafu Mimi humu kila mtu Nampa heshima yake sitaki majibuzano ya ovyoUjuaji upi? Nimekuuliza kwa heshima ila ukajitia upumbavu wa kujitoa ufahamu,ndio maana watu kama wewe wenye maneno ya kike kike hua nadeal nanyi kama mnavyokuja,
Zombie Mamako.
Watu wanapenda sana kuona wenzao wakiteseka. Home siondoki.Swali la msingi sana hili
Hapo sasaHata Yesu hadi leo yuko mbinguni kwa babake