Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Sasa si ndio maana nikakuuliza wewe unayejua unijulishe? Mbona unaanza kutupa ngumi kama vile umeshikwa trako? Huo upumbavu wa kuitana Zombie nenda kamuite Mamako hivyo atafurahi tu.
Sasa haujui alafu unajitia ujuaji utajulishwa vipi Shekhe wangu, umekiuka kanuni ya ukimya na usikivu kwa hio we ni Zombie
 
Mkuu wewe unaongelea utajiri, mimi naongelea mafanikio basic needs. Hizo kanuni nadhani unamaanisha matajiri.
Naongelea mafanikio km mafanikio kwako ni utajiri basi nakupa Pole ndio maana unaishi kwa kujilaumu mwenyewe bila kuelewa na kujua kwanini unajilaumu mwenyewe
 
Mfani kwenye circle yako ya wana wengi unakuta mlisoma wote, wao wametatavkazi mzuri zenye maslahi, halafu wewe huna hata hakika ya kupokea mwisho wa mwezi
Kuna kanuni lazima uzijue na kuzifuata usipozifuata ndio unaishia kujilaumu, -ukitaka kufika mbali tembea na group ukitaka kufika haraka nenda mwenyewe na hio ni kanuni mojawapo
 
Africa mfumo wetu wa elimu unatuchelewesha Sana.
Huku Africa mtu mwenye miaka 23 ndo Kwanza atakuwa Yuko chuo mwaka wa mwisho anatafuta cheti.

Tusiwe tunalinganisha mfumo wetu wa maisha na wa wazungu.
 
Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.

Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
Naunga mkono hoja kaka wengine umri huu wa 31 bado wanaomba afu tatu 😂😁
 
Kuna mtu ana umri kama wako amesha-dead

Wewe bado upo tu
hajafikiria hilo, suala la kuoa nila mtu binafsi wala haliingiliani na kipato

kuna watu vijijini hawana kipato na wameoa kwenye umri wa miaka 18

kuna waziri Kenya hapo hana mke wala mtoto, na maisha yanakwenda

maamuzi ya kijana kuoa na kuwa na familia hayawezi kuwa kigezo cha dunia nzima kumfata yeye

alafu unataka na sisi tuoe walio tuzidi umri ama
 
Sasa haujui alafu unajitia ujuaji utajulishwa vipi Shekhe wangu, umekiuka kanuni ya ukimya na usikivu kwa hio we ni Zombie
Ujuaji upi? Nimekuuliza kwa heshima ila ukajitia upumbavu wa kujitoa ufahamu,ndio maana watu kama wewe wenye maneno ya kike kike hua nadeal nanyi kama mnavyokuja,

Zombie Mamako.
 
Ujuaji upi? Nimekuuliza kwa heshima ila ukajitia upumbavu wa kujitoa ufahamu,ndio maana watu kama wewe wenye maneno ya kike kike hua nadeal nanyi kama mnavyokuja,

Zombie Mamako.
Wewe unataka fujo alafu Mimi humu kila mtu Nampa heshima yake sitaki majibuzano ya ovyo
 
Ndio hapo tunajibebesha FAILURE CLASSES ambazo hazituhusu. Maisha ya Foden na huyo unayemwambia yanashabihiana
 
Back
Top Bottom