Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

Mkuu Mimi SIO mtu wa fujo Ila ukiniletea hisia zako za kifujofujo nitakupelekea najua jinsi ya kupigana na Nguruwe bila kuchafuka kwa hio wewe Nguruwe angalia fujo zako
Wewe kiazi ndio unitishie Mimi? Hivi wewe binti mbona unashobokea watu hovyo hapa jf? Acha kujilengesha sikuhitaji.
 
hajafikiria hilo, suala la kuoa nila mtu binafsi wala haliingiliani na kipato

kuna watu vijijini hawana kipato na wameoa kwenye umri wa miaka 18

kuna waziri Kenya hapo hana mke wala mtoto, na maisha yanakwenda

maamuzi ya kijana kuoa na kuwa na familia hayawezi kuwa kigezo cha dunia nzima kumfata yeye

alafu unataka na sisi tuoe walio tuzidi umri ama
Uoe huna kipato utalisha nini familia? Hao vijijini wama mazao ma vyakula, usiseme hawana kipato.
 
Uoe huna kipato utalisha nini familia? Hao vijijini wama mazao ma vyakula, usiseme hawana kipato.
ndo maana nimesema vijijini huko hawana kipato ila wameoa

maana yake wana vyakula, pia kipato kinaweza kuwepo cha kuunga unga (sio rasmi ) bado ukaoa na maisha yakaenda
 
Back
Top Bottom