Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
How old are you?!
 
Licha ya jitihada za makusudi kufanyika ili kuusambaratisha na kuuzika rasmi mtandao, ni dhahiri kuwa jitihada hizo zimeshindikana kabisa. Wale wana CCM wakuja, makanikia, na wale mabaki ya mwendazake inawapasa wasome alama za nyakati.

CCM imerudi mikononi mwa wanamtandao. Kama huwezi kupingana nao, basi ungana nao.
 

Acha kulinganisha siasa za Kenya na Tanzania. Tanznaia Ni chama kimoja kinaongoza miaka nenda Rudi Ila Kenya Vyama hubadilika.

Lawama zote Ni CCM achana na stori za CHADEMA kwenye CCM.
 
........…………………...... and the hunters flew off with live zebras and antelopes, one of which dropped dead at Kilimanjaro International Airport. At the airport was Abdulrahman Kinana, the Minister for Defence and National Service at the time, representing the Tanzanian Government.
 
Acha kulinganisha siasa za Kenya na Tanzania. Tanznaia Ni chama kimoja kinaongoza miaka nenda Rudi Ila Kenya Vyama hubadilika.

Lawama zote Ni CCM achana na stori za CHADEMA kwenye CCM.
Huna akili mkuu. Unahemuka tu bila kuelewa chochote.

Sasa hapa umeandika kitu gani ninachoweza kukujibu!
 
Born town wanavamia shamba kwa kasi....

Hii nchi fanya yako upate ugali ulale...haya ya huko ni utopolo mtupu!

Wenye visu ndo hula nyama
We angalia mpaka ngazi za uongozi wa mashirika nyeti ya serikali wameshrudisha safu yao, uwaziri ndio waliamzia kurudisha vijana wao, na wanamalizia na chama, sasa watakula zaidi ya urefu wa kamba zao kwa raha zao, maana vitengo vyote wapo wenyewe.
 
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.

Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko...
Nadhani mliidharau comment yangu hii kwenye uzi fulani hivi kwakuwa nimeongea mimi ngumbaru nadhani tunaanza kuona sasa...mpak April safu ya 2025 itakuwa tayari imekamilika kuanzia ngazi za matawi mpaka mikoani.

Tunakaa na viongozi wa ngazi za juu wa chama wa mikoa kwenye vijiwe vya kahawa lakini kila dakika moja wenzetu wanapokea simu kutoka kwa mwenyekiti wa taifa ambaye ni dhahiri shairi madaraka yamemnogea na kashahisi raia wanaweza kumkataa so nguvu kubwa lazima atumie

 
Hakuna tatizo, waweke yeyote, asipo weza kusimama wasaidizi wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…