Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
How old are you?!Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How old are you?!Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Labda ndio maana yule Mkurugenzi wa TTCL Waziri Kindamba kuondolewa, pengine alihusika ku organize udukuaji.Anayekuwa Makamu Mwenyekiti ni Kinana aliyedukuliwa na Sukuma gang au ni mwingine?
Mkuu 'Victoire', naona umekuwa mpole!
Lakini naona bado huelewi vizuri. Ngoja nikusaidie kidogo.
Unaposema "CHADEMA waka-'shine,'" waka-'shine' kwa ajenda ipi? Huoni kuwa CCM ya Samia ndiyo CHADEMA ya Mbowe?
Labda useme kwamba CHADEMA waanze mikakati ya kujiingiza ndani ya CCM(CHADEMA) ya Samia.
Kukurahisishia zaidi ni kwamba, usione ajabu sana siasa zetu sasa zikawa kama zile za Kenya zilivyo sasa. Haya mavyama ya CCM, CHADEMA, ACT, CUF, yatakuwa ni vyombo tu vya kubeba watafuta fursa. Inapofika wakati wa kusaka uongozi, mavyama yote yanahaha kutafuta mahala pa kujibanza ili yawe kwenye ulaji. Kwa hiyo anza kutegemea , kwa mfano Muungano wa CCM na CHADEMA hapo 2025, na mambo yanakwenda 'smoothly' kama ugali na mlenda.
Umenielewa?
Jambo hili ni rahisi sana sasa kulieleza kwa wananchi, na hapo ndipo kila mtu atakapoanza kuimba 'Maza, Maza, Maza.....' , pengine hata wewe utakuwa ni kati ya hao waimbaji wa sifa za mama!
Mbowe, inawezekana tayari yupo huko Kenya (chuoni) kujifunza jinsi haya mambo yanavyofanya kazi.
Wewe na mimi hatukuwepo Mbowe alipoitwa Ikulu kujadili "mwafaka, haki, uhuru" Kuna maafikiano mazuri kuliko hayo?
Ngoja nikuache kwa sasa uyatafakari hayo.
Acha Upuuzi.Rais
Waziri mkuu
Katibu mkuu kingozi
Makamu mwenyekiti hapo ni Islamic state kweli.
mbeme nae vipi karudi auMangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko...
Huna akili mkuu. Unahemuka tu bila kuelewa chochote.Acha kulinganisha siasa za Kenya na Tanzania. Tanznaia Ni chama kimoja kinaongoza miaka nenda Rudi Ila Kenya Vyama hubadilika.
Lawama zote Ni CCM achana na stori za CHADEMA kwenye CCM.
Labda ndio maana yule Mkurugenzi wa TTCL Waziri Kindamba kuondolewa, pengine alihusika ku organize udukuaji
Kassim bado yupoKwenye uongozi kuna wakati sio rahisi kuelewana itikadi, na hii inatokea pale unapohudumia awamu zaidi ya moja kwa Viongozi wakuu tofauti. Ngoja mzee akapumzike
Hakuna tena kukosea kumuweka mshamba na limbukeni ccm kismartsmart tuHutokea mwinda akawa mwindwa. Ngoja tuwasubiri sukuma genge
We angalia mpaka ngazi za uongozi wa mashirika nyeti ya serikali wameshrudisha safu yao, uwaziri ndio waliamzia kurudisha vijana wao, na wanamalizia na chama, sasa watakula zaidi ya urefu wa kamba zao kwa raha zao, maana vitengo vyote wapo wenyewe.Born town wanavamia shamba kwa kasi....
Hii nchi fanya yako upate ugali ulale...haya ya huko ni utopolo mtupu!
Wenye visu ndo hula nyama
Mhhhhh,Sasa sio kuangalia ala pork tu,ongeza na watumia mafuta yake!Wala pork kaeni pembeni.
Nadhani mliidharau comment yangu hii kwenye uzi fulani hivi kwakuwa nimeongea mimi ngumbaru nadhani tunaanza kuona sasa...mpak April safu ya 2025 itakuwa tayari imekamilika kuanzia ngazi za matawi mpaka mikoani.Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko...
Hakuna tatizo, waweke yeyote, asipo weza kusimama wasaidizi wapo.Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Mzee wa kwenda mpaka vijijini Kuna watu wafia chama.Radio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.