Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Huyu Mwigulu sio yule aliyechafua mawe yetu ?, Akipewa hii Wizara si atamshauri mama hata zile zifuri za kwenye noti za pesa aweke picha yake...
 
Kimei mtu mbunifu sn
 
Nawe tulia basi. Kwani Dk Mpango alipokua waziri wa fedha 2015-2020 alikuwa ni mbunge wa wapi?. Kumbuka kuna ubunge wa kuteuliwa.
Nalifahamu hilo

Acha umuch know basi..jina alilotaja hapo ni Mbunge?..hivi Tz mbona mna vichwa vigumu sana?
 
Jiongeze mkuu, unaongea ujinga mwingi sana kwa wakati mmoja
Aaah kalale huko....

Dalili za kushindwa hizo

Majibu hujanipa! Naona unazunguka tuu kama Nzi

Unashindwa hata kubishana kwa hoja.
 
Ndio sijakataa..kuteuliwa sawa.

Saivi hana shughuli yoyote

Kwa hiyo atateuliwa muda huo huo na kukabidhiwa kazi,? Kila kitu kinazingatia protocol Mkuu
Unaelekezwa bado unakaza skeleton kuelewa. Kasali uko kazi zimekushinda
 
Tulieni. Mtaona maajabu mtashangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…