Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Huyo mstaafu wa CRDB wa nini? Kwanza kuna vijana kibao waadilifu ndani ya wizara ya fedha wapeni kazi hiyo....

Mama Samia teua vijana wasomi wa 40 - 45 wakupigie kazi - achana na hawa wazee wastaafu na wanasiasa wa kujikomba komba watakuangusha.
 

Serekali ina hisa pale mkuu
so kama ina hisa inapiga kura kama mwanahisa mwingine, sio kuteua, na wala Serikali sio mwanahisa mkuu pale
 
Inawezekana Mwigulu anafaa ila binafsi kiongozi anayekesha mitandaoni kujibishana na watu naona hana nidhamu na mwepesi kujikweza.
Mwigullu ni msomi lakini uwaziri wowote hafai.
Tabia ndiyo inamwondolea sifa.
Lakini kwani wabunge wengine hawapo hadi tunahitaji kuwarotate hawahawa hata ambao wameonekana kukosa maadili na utu?
 
MH. Rais atakwama km atakumbatia watu wa aina ya Mwigulu, Kimei. Hawatamsaidia Ni mafisi wale. Halafu Ni watu wa magenge ya CCM.
 
Ana tungo tata
 
SukumaGang Out! Huu ni muda wa Wala-rojo
 
Kikubwa mkuu..tuachane na kuzungumza ukabila, udini, na ukanda..hii nchi inaitaji umoja na mshikamano na kikubwa watu kuvumiliana kutokana na tofauti zao kiimani, kikabila na kiitikadi..tukianza kichambua hapa..nani mkabila na Nani si mkabila au mdini..hakuna nakuambia atakayebakia salama..kikubwa tuvumiliane..na kiongozi wetu tusimtazame kwa misingi ya kabila lake,rangi yake au dini yake..Bali kiongozi wetu tumtazame kwa misingi ya uzalendo wake kwa nchi yetu, uwezo, uzoefu..na elimu yake kwa kazi husika.
 
SimbaChawene awe waziri wa fedhwaa, alafu Nape awe waziri wa mambo ya ndani ili amsake yule muhuni aliyemnyooshea mguu wa kuku kipindi kile cha jambazi kuu aliyefia katikati ya Movie
 
Kimei ni MKABILA. Hafai. Kajaza Wachaga CRDB

Wasomi wengi wa masuala ya Fedha ni Wachagga kwa hiyo, hata huko benko lazima Wachagga wajae.

Sasa ulitaka aajiri wachunga ng'ombe?

Hivi ushamba mtaacha lini?

Maana kuiba nako kunahitaji elimu.

Ndani ya week unakwapua mamilioni ya dola huo ni uzezeta.
 
Mzee punguza povu aisee..haya alijaza wachaga ..vipi bank ilifilisika !? Ilishindwa kutoa gawio kwa wanahisa kisa Kuna wachaga wengi!? Mambo mengine ni ujuha
 
Hakuna kijana mwenye weledi anayeiweza wizara ya fedha nchi hii. U-dc na U-RC tu umewatoa jasho mpaka wanatukana wazee wao waliowafikisha hapo.
Huyo mstaafu wa CRDB wa nini? Kwanza kuna vijana kibao waadilifu ndani ya wizara ya fedha wapeni kazi hiyo....

Mama Samia teua vijana wasomi wa 40 - 45 wakupigie kazi - achana na hawa wazee wastaafu na wanasiasa wa kujikomba komba watakuangusha.
 
Adolf Mkenda ndiye waziri wako wa fedha.
Kaa kwa kutulia.
 
so kama ina hisa inapiga kura kama mwanahisa mwingine, sio kuteua, na wala Serikali sio mwanahisa mkuu pale
Hii ni africa kaka...mbona unakua kama namna gan..nmeshakwaambia kimei alitolewa pale...nyie mnasema alistaafu..ndio..ila mi nakwambia alitolewa pale .kwisha..hutak kaa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…